NASHINDWA KUELEWA:Hata wakikubali,bado natumia nguvu wakati wa kuanza majamboz

NASHINDWA KUELEWA:Hata wakikubali,bado natumia nguvu wakati wa kuanza majamboz

...sawa mkuu, lakini sikushauri kwenda chumvini unless umevaa 'salama' kwenye huo ulimi pia!


Hahaha mkubwa umeniacha hoi sio mchezo.....Kweli kabisa siende chumvini kwa kila mwanamke...Na akienda ahakikishe demu ameingia bafuni na amejisafisha ipasavyo hayo ndio maneno.......!!
 
Enzi hizi za ngwengwe hakuna haja sana ya kuonesha viufundi maana kama dem mwenyewe umenunua kuna haja gani ya kuanza kufanya ziara mbalimbali wakati hauna uhakika na usalama wa afya.
Geo.. mwendo huo huo mwana ila kama ni shem mpe treatment ya kiukweli kabla ya kuzama kunako!
 
Geoff, hata kama amekubali kuingia na wewe ndani haina maana ndiyo amejikabidhi kwako 100%; remember huyo dada anakuwa na rights zake kwa muda wote ambao mtakuwa pamoja hata kama mko katikati ya tendo bado anaweza kusuggest chochote kile ilimradi kiko ndani ya uwezo wenu... sometimes anaweza hata kukataa kuendelea na ikiwa hivyo inabidi uache kuendelea na tendo. ni vigumu ikitokea lakini ndi haki zake... nina imani hata wewe sometimes unaweza kuchukua demu halafu ukaamua kutofanya, au ukaishia katikati... all those are rights and they are equal kwako na kwake!!!

Nijuavyo mimi, huwa wako very cooperative if you press the right button!


aahh wapi! wengi wa dada zetu hawa bila ngwara hauli mzigo, atakua anataka lakini bado atakwambia OTE! OTE!
 
huo ni ukweli mtupu...
Mzee mleta mada,we ukifika tumia walau dakika 15 kumuandaa huyo mwezio,mkuu nakuhakikishia km utamgusa maeneo muhimu,yeye mwenyewe atakwambia cho..kaaa...we..kaa....na mengine mengi....
..Wale mademu wa kule kwetu hata kama kaingia gheto kwa ridhaa yake kula kiboga lazima uchimbe mtaro vinginevyo hakieleweki....
 
Back
Top Bottom