Tumia tafsida ungeuliza hivi "ANA CHURA?"Ana tako?
Hizo bahati huwa wanapata wavulana,yani mbunye ya bure unaogopa,tindua mzigo ukiona mazoea yanazidi mwekee wa mbuzi tu
Unaweza kuendeleaYuko vzr tajir
[emoji23][emoji23][emoji23]kamuwekee pingamizi kwa mwenye nyumba.
So humtaki ila umeshindwa kumwambia like serious na anakupigia simu unaenda ndan kwake.Wana jukwaa salaam?
Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.
Drama haziishi hasa usiku mara apige simu anasikia mtu anatembea kwake me nitaenda kuchek naona safi bhasi atanizuia nsiondoke pale ntaakaa naye mpaka sa8 usiku sometimes atalala me ntarud kwangu. Siishii hapa akija kwangu kustory kuondoka ni mgumu sana.
Sasa hivi naandika uzi natoka kwake alipiga simu anaumwa sana kazidiwa ikabidi nende manake nilishasema sitoenda tena kwake usiku nimeenda nimekuta hana shida ila kavaa nguo nyepesi inamwonesha kilakitu nmevumilia nmesepa.
Naogopa sana kumla coz najua atanisumbua sana anaoneka ni king’ang’anizi na atapelekea mahusiano yangu kufa. Nahisi haya ni majaribu mungu ananipa coz nmepromise kutomsaliti mpenzi wangu. Usiku mwema.[emoji120]
Ni mimi tu nakutana na haya?
Hiyo Ipo sana.. Alafu naona wengi wanalaumu hapo.. Ujue sio kila Demu ni wakumla,Yaan unakuta kuna Dem huna hisia nae na pia mtu wafikia kuona nimatumizi mabaya ya kuchepuka au huna huo muda.. HAPO MUHIMU FANYA KUMUITA HUYO DEMU WAKO AKAE HATA SIKU MBILI Akiwa anamuona ataweka heshima tuu ,hao viumbe wanawivu hivyo akishakuona live na dem tena kalala kwako Roho itamuuma hadi utashangaa kakuwekea bifu,hapo ndo kukata mazoea sasa.
Safi sana. Najua watakucheka ila hapo umefanya jambo la muhimu sana. Mimi mwenye kuna manzi kama yako, naye alikuwa analeta mitego si nikamla. Najilaumu sana maana amekuwa na wivu kupitiliza. Kuwa na msimamo huo huo, ni bora ulete manzi wa mbali kuliko wa karibu.
Kama huna interest naye kwa nini una entertain matendo ya huyo dada. Nadhani kuna element ya domo zege hapa.
Mkodie lijambazi limmalize.. View attachment 1549139
Hongera sana mkuu nimependa mentality yako. Wewe ni mwanaume wa nguvu yani ni Gentleman unastahili pongezi. Hapa kuna baadhi ya wanaume watakuponda tuu kutafuta kiki kujiona wao ni vidume. Uanaume sio kutwanga kila kinu uanaume ni uvumilivu.