Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

Nashindwa kuelewa hatima ya huyu dada mpangaji

Hawa wanasumbua sana. Na akimla, siku akileta manzi mwingine atamletea fujo halafu pia kuna kutegeshewa mimba. Ni bora ule manzi ya mbali na siyo ya karibu. Yameshanikuta, najuta sana
Mbunye ni ya kawaida sana.
Hizo bahati huwa wanapata wavulana,yani mbunye ya bure unaogopa,tindua mzigo ukiona mazoea yanazidi mwekee wa mbuzi tu
 
Ukae na mwanamke hadi usiku wa manane una ajenda gani, kama humtaki usingekuwa unaenda kwake. Kama huna mpango naye mwambie ila Kama unamtaka komaa....
Yaani unaogopa uchi mkuu😂😂😂
 
Kama huna interest naye kwa nini una entertain matendo ya huyo dada. Nadhani kuna element ya domo zege hapa.
 
Wana jukwaa salaam?

Hapa home tupo wapangaji wa 3, wa 2 wanaume mmoja ni dada sasa huyu dada amekuwa shida karaha sana kwa sababu anachokitaka me sitaki kukifanya na nmeapia sitoweza.

Drama haziishi hasa usiku mara apige simu anasikia mtu anatembea kwake me nitaenda kuchek naona safi bhasi atanizuia nsiondoke pale ntaakaa naye mpaka sa8 usiku sometimes atalala me ntarud kwangu. Siishii hapa akija kwangu kustory kuondoka ni mgumu sana.

Sasa hivi naandika uzi natoka kwake alipiga simu anaumwa sana kazidiwa ikabidi nende manake nilishasema sitoenda tena kwake usiku nimeenda nimekuta hana shida ila kavaa nguo nyepesi inamwonesha kilakitu nmevumilia nmesepa.

Naogopa sana kumla coz najua atanisumbua sana anaoneka ni king’ang’anizi na atapelekea mahusiano yangu kufa. Nahisi haya ni majaribu mungu ananipa coz nmepromise kutomsaliti mpenzi wangu. Usiku mwema.[emoji120]

Ni mimi tu nakutana na haya?
So humtaki ila umeshindwa kumwambia like serious na anakupigia simu unaenda ndan kwake.
Hivi kweli wanaume wenzangu tunashindwa kusolve jambo dogo kama hili, umezingua
 
Hili jukwaa mbona hizi siku lina nyuzi za wanaume wa ajabu sana
 
Hiyo Ipo sana.. Alafu naona wengi wanalaumu hapo.. Ujue sio kila Demu ni wakumla,Yaan unakuta kuna Dem huna hisia nae na pia mtu wafikia kuona nimatumizi mabaya ya kuchepuka au huna huo muda.. HAPO MUHIMU FANYA KUMUITA HUYO DEMU WAKO AKAE HATA SIKU MBILI Akiwa anamuona ataweka heshima tuu ,hao viumbe wanawivu hivyo akishakuona live na dem tena kalala kwako Roho itamuuma hadi utashangaa kakuwekea bifu,hapo ndo kukata mazoea sasa.

Nasubir baby mama amalize pepa aje akae hta 2 weeks
 
Kama huna interest naye kwa nini una entertain matendo ya huyo dada. Nadhani kuna element ya domo zege hapa.

Hv mtu kakupigia cm anaumwa sana huwez kwenda?? Kumbuka ni jiran kuna vitu lazma tusaidiane ile tusivuke mipaka
 
Hongera sana mkuu nimependa mentality yako. Wewe ni mwanaume wa nguvu yani ni Gentleman unastahili pongezi. Hapa kuna baadhi ya wanaume watakuponda tuu kutafuta kiki kujiona wao ni vidume. Uanaume sio kutwanga kila kinu uanaume ni uvumilivu.
 
Hongera sana mkuu nimependa mentality yako. Wewe ni mwanaume wa nguvu yani ni Gentleman unastahili pongezi. Hapa kuna baadhi ya wanaume watakuponda tuu kutafuta kiki kujiona wao ni vidume. Uanaume sio kutwanga kila kinu uanaume ni uvumilivu.

Amen [emoji120]
 
We nenda kapige mashine... Then ukitoka safisha dushe lako kwa maji tililika na sabuni ya omo au foma... Then ikaushe kwenye stainlizer kwa muda wa dk 5...wasiwasi ukizidi muone dokta mwaka au dokta ndodi
 
Dawa ni kutafuta kazi ya kufanya mkuu.Kukaa kaa idle ndio matokeo yake kuja na thread kama hiz.
Naona hapo umekaa tayar kwa next drama halaf unajifanya hupe😎ndi
 
Back
Top Bottom