Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa.
1.Mkuu wa majeshi
2.IGP
3. DG wa TISS
4. Mkuu wa TAKUKURU
5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
6. Katibu wa Bunge.
7. Mtendaji Mkuu wa Mahakama
8. Mawaziri wa Wizara mbalimbali, hapa ndio kabisa natoka kapa-majina niliyonayo kichwani ya Mawaziri ni Mwigulu,January,Nape,Biteko-wengine kuwatambua kwa haraka hadi nianze kuvuta kumbukumbu.
9. Manaibu Waziri ndio kabisa waliopo kichwani ni Ridhiwani Kikwete na Sagini nae kwa sababu ni Mbunge wangu.
Sijui ni Mimi ninapuuzaa kutafuta taarifa,au ni hao watu umuhimu wao unapungua katika Nchi.