Nashindwa kuelewa kwanini majirani wanapenda kugonga / kubisha hodi mlango wa nyuma

Yani inakuaje mlango wa mbele upo, ila mtu anatoka kwake anabisha hodi mlango wa nyuma? Hata kama hakuna ukuta, unatakiwa ubishe hodi mlango wa mbele, sio busara kabisa.
Ni mlango huu huu niujuao mimi au mlango wa choo
 
Mlango wa mbele au wa nyuma wa kitu gani

Em fafanua mkuu
Milango ni mingi😀😀
 
Tunagonga mlango wa nyuma sababu pilau kuku mnaipika kwa kujificha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…