Sababu mlango wa mbele uko wazi sana kwakua unagongwagongwa sana na watu wengi ndio mana tunaenda gonga mlango wa nyuma at least unakua unafungwa tait sana.
Yani inakuaje mlango wa mbele upo, ila mtu anatoka kwake anabisha hodi mlango wa nyuma? Hata kama hakuna ukuta, unatakiwa ubishe hodi mlango wa mbele, sio busara kabisa.