Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlonge ni mzuri sana, tena unafaida nyingi sana ukianzia na majan, mbegu na hata mizizi yake.Good advice ... Mleta mada follow this advice .. Ingawaje myself I have never advice my patient kuhusu kutumia Mlonge ... This is my first time to hear this from here Jf... Nilishawahi kuwashauri most of my patients kutumia Matembele, mboga nyingine za majani na pia healthy diet.. Thank you anyway I have learn something new .. Thanks..
as for me huwa natumia na naona nimekuwa mbali na hosp kwa muda and this applies to my kidoz as well.USHAURI MZURI SANA. Sasa mkuu,sisi ambao tuna afya njem,unatushauri tutumie hiyo dawa ya mlonge? Haina side effects? Sorry kwa kuingiza swala hili kwenye huu uzi.
Mlonge ni mzuri sana, tena unafaida nyingi sana ukianzia na majan, mbegu na hata mizizi yake.
kilicho bora na rahisi kutumia kuliko vyote ni majani yake.
hata akwa watoto wadogo wasopenda kula just make a soup, ya haya majani umuwekee kwenye mlo wake, utaona mtoto anaanza kunawiri.
I have a friend of mine mwane alipata unyafuzi, ambao ulisababishwa na mfumo wa mwili kutokutumia baadhi ya virutubisho mtoto anavyokula. ili mchukua mda kweli hadi dr wa mtoto kugundua kwamba huyu mtoto kila anachokula mwili unakitoa nje. she faced me, nikamwambia naamin may be kuna vimengenya vya mtot ambavyo haviko active, and i don't claim to understand it well but jaribu tu kutumia mlonge uone. tukaanza therapy ya kumpa supu ya majani ya mlonge kila siku 50 ml x 3 kwasiku. Baada ya 7 days appetite ya mtoto iliongezeka na mwili ukaanza kupokea virutubisho vizuri. as am writing here kabinti kako healthier na daktari wake akaamua kuanza kufanya study ya huu mlonge na enzymes activation. naamin akimaliza ata kuja na undani wa hili vizuri zaid.