ENT
Member
- Apr 19, 2014
- 34
- 2
habari! Wana jf Doctor
sijaelewa tatizo nini mpaka sana mimi nimeowa na mke wangu sasa ni mjamzito wa miezi nane na nusu siku zote huwa nafanya naye mapenzi bila kinga na tunaamiana wote tumepima sasa swala linakuja hivi karibuni nimefanya naye mapenzi uume wangu uko kama umechubuka pili unakuwa umepauka na kuwaswa na ute wake unaotoka ukeni wakat nikifanya tendo la ndoa
je nitatizo gani hili na nini tiba yake msaada wapendwa