Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Good thinkingJaribu kwa mwanamke mwingine halafu rudi hapa chumba cha daktari.
Tatizo mnacheza ligi kuu tu masharti mengi hadi unapoteza ladha.
Uwe unajaribu ligi za mchangani kuna mbwembwe sana kule. Wewe unaandaa faini yako kabisa.
Mara uingilie kwa kuruka ukuta, ukiulizwa unasema nilikuwa sioni main gate.
Mara ucheze kwa kasi ya ajabu, mara utembee juu ya mpira na watu wanashangilia hapo!