Binafsi hata mimi kuna huyo wa kuuza naye sura mtaani yaani nikipita naye lazima watu wageuke wajiulize maswaliunakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini. principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe hufurukuti, ndio wanaokupeleka mbio kweli kweli. mie kuna kama wanawake wanne hivi wenye jina patricia yaani hao najikuta moyo wangu wa FFF beki hazikabi kabisa yaani ata akisema tuma ya kutolea nitatoa tuu. ndio mnaachana lakini yaani lazima nitamtafuta tuu. sasa nashindwa kuelewa hii ni kwangu tuu au kuna mwengine nae ilishamtokea hii?
Nyinyi ndio hua mnafanya maisha kuwa magumu,Kama nchi tuna safari ndefu sana ya mafanikio.
You'll understand that in your 60s, but now! you don't have the brain for that.Nyinyi ndio hua mnafanya maisha kuwa magumu,
Hatuwezi kuwa sawa, ushawahi kujiuliza na huo usiriazi wako umekufikisha wapi mkuu
Take it easy
Miaka 60 wameshindwa leta maendeleo wategemee vijana sie ambao ata chingereza hatukijui. Kama kufelinwalifeli wazazi wetu. Mnataka kututupia lawama tuuKama nchi tuna safari ndefu sana ya mafanikio.
Usimpe mimba tu bas😭Ni kawaida mkuu
Mfano mimi kuna manzi nimemdanganya hadi jina langu na dini
Kibaya zaidi katokea kunipendaa sanaa nikisema sana namaanisha na mimi najipigia tu sina mpango nae
Shida inakuja nafsi inanisuta yaani namuonea huruma siku nikimkimbia
Hafai😔Nnachokijua,
Wee mzabzab ukishanusa tu harufu ya nnya, beki zako zote hazikabi[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Eti huyu nae anaesabiwa kwenye Sensa 😩
Aisee..Binafsi hata mimi kuna huyo wa kuuza naye sura mtaani yaani nikipita naye lazima watu wageuke wajiulize maswali
🤔Hivi haka ka kijana kana pesa ya kummiliki huyu demu?????
Kitandani hayupo njema kwa kweli ila basi tu mauzo,
Hata mademu wengine wanaingia king kupitia huyu demu🙄
Mimi simwachi ng'oooo
Ni kweli lakini mchezo wa kulaumiana hua hauishi.Miaka 60 wameshindwa leta maendeleo wategemee vijana sie ambao ata chingereza hatukijui. Kama kufelinwalifeli wazazi wetu. Mnataka kututupia lawama tuu
Umeelewaje comment yangu kijana.Nyinyi ndio hua mnafanya maisha kuwa magumu,
Hatuwezi kuwa sawa, ushawahi kujiuliza na huo usiriazi wako umekufikisha wapi mkuu
Take it easy
Ni kweli lakini mchezo wa kulaumiana hua hauishi.
Hata wewe unaishi kwenye nchi hii hii basi wewe itengeneze coz upo hai na hao unaowalaumu washakufa.
Eti huyu nae anaesabiwa kwenye Sensa 😩