Nashindwa kuielewa hii...

 
Ni kawaida mkuu

Mfano mimi kuna manzi nimemdanganya hadi jina langu na dini

Kibaya zaidi katokea kunipendaa sanaa nikisema sana namaanisha na mimi najipigia tu sina mpango nae

Shida inakuja nafsi inanisuta yaani namuonea huruma siku nikimkimbia
Duh
Dunia hii
Kwahiyo Kuna mtu anasubiri maumivu !?
Haya
 
Huku ni mahusiano na mapenz na kipengele cha mapnz kuna kuichakata mbususu, na Kwa sasa mapnz ya kwel hamna bora tubaki kuichakata, sasa habar ya mafanikio kma nchi yamekujaje apo ?????
Utaichakata mbususu bila kula kijana.
 
ah wapi niumeze kichwa kutengeneza nchi ambayo siththaminiwi na weye hiyo nchi. acha utani bwana. watu ujituma pale anaona ana kuwa valued. i dnt feel valued.
Pole sana ndgu yangu, sio wote waliojenga nchi mpaka hapa wemepewa ile thamani iliyostahili.

Enewei ni MMU hapa usijewachanganyia habari wala kimasikhara.
 
Pole sana ndgu yangu, sio wote waliojenga nchi mpaka hapa wemepewa ile thamani iliyostahili.

Enewei ni MMU hapa usijewachanganyia habari wala kimasikhara.
Tuendelee kugegegedana tuu mwaniwane....maendeleo tuwaachie wadhungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…