Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Comment yangu ingekua na madhara mods wangeipitia, kama bado ipo basi jua sijakosea njia na nimefuata vigezo na masharti ya jf.Kumbuka hili ni jukwaa la mahabuba jamiiforum Kuna majukwaa mengi
Mimi sijui upoje ila tu nimeutilia shaka kwakua umefananisha nguvu itumikayo kuchakata mbususu na kucomment jf.Kwamba uchakataji wangu upoje mkuu ?
Hakuna mtu aliyesema umekosea, najaribu kukumbusha jamiiforum Ina majukwaa mengiComment yangu ingekua na madhara mods wangeipitia, kama bado ipo basi jua sijakosea njia na nimefuata vigezo na masharti ya jf.
Hilo nalijua wala huna haja ya kunikumbusha ndgu yangu.Hakuna mtu aliyesema umekosea, najaribu kukumbusha jamiiforum Ina majukwaa mengi
Usione watu wajinga kwenye jukwaa la mahabuba wakitoa Yao ya moyoniHilo nalijua wala huna haja ya kunikumbusha ndgu yangu.
Na kama sijakosea sioni haja ya kukumbushwa.
Nani ameonekana mjinga ndgu?Usione watu wajinga kwenye jukwaa la mahabuba wakitoa Yao ya moyoni