Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????
tatizo lako hilo ni tatizo la kawaida kabisa na wala huna sababu ya kuona aibu au kujisikia vibaya. Je jogoo likiona jua linatoka liache kuwika au kusikia vibaya kwanini linataka kuwika? Je ndege akiona ngano asitake kutua kudonoa?
Mapenzi ya kweli yanahusu matamanio vile vile. Atakudanganya mtu anayetaka umpende halafu usimtamani. Sasa tatizo lako naamini lipo katika kutawala hayo mataminio yako kwani unaweza ukajikuta hata ikatokea mkawa wapenzi ukawa una perform under anxiety na ukakumbwa na "Sexual Perfomance Anxiety Disorder" na ukajikuta unapata kumwaga mapema wakati wa tendo.
So, fuata ushauri ufuatao:
a. Kwa sababu inaonekana hata hujamtamkia ni vizuri utamke pendo lako au hisia zako kwako, hii itakuondolea pressure uliyojijengea ndani na inayoendelea kujazwa na fantasy kila umuonapo. Ukishamuambia itakupunguzia pressure ya fantasy.
b. Hali ya kusimamisha kwa mwanamme ni hali ya kawaida sana na wakati mwingine haitegemei hata "the object of affection". Wanaume tunasimamisha hata misibani.. don't aske me why! Tatizo lako ninavyoona ni kuwa unavaa vile vile nguo zinazoonesha maumbile yako hayo kiurahisi na hivyo unaweza ukajikuta unapata kutiwa pingu kwa indecent exposure (sijui uko kijiji gani). So, hakikisha huvai nguo ambazo zinadokeza kiurahisi kile kilicho chini ya suruali kiko hali gani. Hivyo, kuvaa shati refu, suruali inayopwaya lakini underway inayohifadhi nyeti zako vizuri ni jambo muhimu.
c. Jambo la tatu ni kuwa don't go and meet her!!! usije ukapata mfadhaiko tukakusoma kwenye magazeti!!!