Nashindwa kuliamini hili suala

Nashindwa kuliamini hili suala

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mimi nina rafiki yangu ambaye ana uhusiano na mwanamke fulani hivi na alishamtambulisha kwangu.Na kiukweli huyo mwanamke ana mpenda sana rafiki yangu nakumbukaga wakati my friend huyo mwaka wa mwisho chuo cha udsm wazazi wake walikuwa hawana hela ya kumpa so huyo demu wake ndio alilipa.

Huyo demu ana uwezo mkubwa tu wakifedha ana kazi nzuri pia familia yao pia inajiweza na huyo demu ampenda my friend akiwa my friend uwezo wa kifedha hana na wana uhusiano wa miaka 2 Hadi sasa.

Leo wakati nimekaa na my friend akaniambia demu wake anamsaliti nikamuuliza una ushahidi wowote maana nilishindwa kuamini akanimbia Nina ambiwa na watu lakini pia baadhi za message za demu ninashindwa kuzielewa vizuri.

Binafsi nimeshindwa kuamini kutokana na yule demu ninavyomfahamu na namna anavyompenda my friend Kuna kipindi my friend aliwekwaga selo lakini huyu huyu demu alimtoa kuna vitu vingi Sana huyu demu kavifanya kwaajili ya my friend hii ndio inanipa shida kuamini.

So leo nimepanga nikutane na huyu demu hili tuzungumze hili suala ili nijue ni kweli Mara nyingi huyu anifichagi kitu.
 
unadhani ukiongea nae wewe atakwambia ndio nacheat??au hata ikitokea akakwambia ndio anacheat utafanya nini?utamwambia rafiki yako??atapokea na kuukubali ukweli??siku zote mapenzi ya wawil ukiongezeka wewe wa tatu basi ni urafiki ufe au mapenzi yafe!!cha kumshauri huyo rafiki ako mwambie apambane na maisha tu mwanamke akikuzidi kipato hutokuwa na kauli ya Kiume!!
 
Mimi nina rafiki yangu ambaye ana uhusiano na mwanamke fulani hivi na alishamtambulisha kwangu.Na kiukweli huyo mwanamke ana mpenda sana rafiki yangu nakumbukaga wakati my friend huyo mwaka wa mwisho chuo cha udsm wazazi wake walikuwa hawana hela ya kumpa so huyo demu wake ndio alilipa.

Huyo demu ana uwezo mkubwa tu wakifedha ana kazi nzuri pia familia yao pia inajiweza na huyo demu ampenda my friend akiwa my friend uwezo wa kifedha hana na wana uhusiano wa miaka 2 Hadi sasa.

Leo wakati nimekaa na my friend akaniambia demu wake anamsaliti nikamuuliza una ushahidi wowote maana nilishindwa kuamini akanimbia Nina ambiwa na watu lakini pia baadhi za message za demu ninashindwa kuzielewa vizuri.

Binafsi nimeshindwa kuamini kutokana na yule demu ninavyomfahamu na namna anavyompenda my friend Kuna kipindi my friend aliwekwaga selo lakini huyu huyu demu alimtoa kuna vitu vingi Sana huyu demu kavifanya kwaajili ya my friend hii ndio inanipa shida kuamini.

So leo nimepanga nikutane na huyu demu hili tuzungumze hili suala ili nijue ni kweli Mara nyingi huyu anifichagi kitu.

Usaliti kawaida ulimwengu wa leo, cha muhimu huyo jamaa yako a play part yake maisha yasonge......."Wakigugongea Demu nawe tafuta Mnyonge Ummegee, Haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya Kiume"
 
Back
Top Bottom