Nashindwa kuliamini hili suala

Nashindwa kuliamini hili suala

My friend wewe muite tu huyo demu , my friend ukishamuita muulize, my friend akisema ni kweli muonye, my friend akikataa nitumie namba yake mimuonye, my friend, my friend, my friend..
We jamaa umefanya nmeacha chakura
My friend
 
Naskia form two muna mitihani ya taifa je mumeshamaliza?? Kama bado toka fasta humu kajiandae.
Kabisaa.Mm hizo "my friend" zilivyojazwa gumo mpaka nikaahirisha kusoma nikarukia kwenye comments
 
Moods ongezen kigezo cha umri kweny ku enroll member wapya maana watt wanakimbia kule fb,unakuta GT tuna argue na wale wako kwny foolish age
Ndio maana wakongwe wanapiga kimyaa.Maana minds zilijaa humu ziko nisu nusu kama sio empty my friend.
 
Mimi nina rafiki yangu ambaye ana uhusiano na mwanamke fulani hivi na alishamtambulisha kwangu.Na kiukweli huyo mwanamke ana mpenda sana rafiki yangu nakumbukaga wakati my friend huyo mwaka wa mwisho chuo cha udsm wazazi wake walikuwa hawana hela ya kumpa so huyo demu wake ndio alilipa.

Huyo demu ana uwezo mkubwa tu wakifedha ana kazi nzuri pia familia yao pia inajiweza na huyo demu ampenda my friend akiwa my friend uwezo wa kifedha hana na wana uhusiano wa miaka 2 Hadi sasa.

Leo wakati nimekaa na my friend akaniambia demu wake anamsaliti nikamuuliza una ushahidi wowote maana nilishindwa kuamini akanimbia Nina ambiwa na watu lakini pia baadhi za message za demu ninashindwa kuzielewa vizuri.

Binafsi nimeshindwa kuamini kutokana na yule demu ninavyomfahamu na namna anavyompenda my friend Kuna kipindi my friend aliwekwaga selo lakini huyu huyu demu alimtoa kuna vitu vingi Sana huyu demu kavifanya kwaajili ya my friend hii ndio inanipa shida kuamini.

So leo nimepanga nikutane na huyu demu hili tuzungumze hili suala ili nijue ni kweli Mara nyingi huyu anifichagi kitu.
Mrejesho
 
Back
Top Bottom