Hizo warranty ni limited kulingana na nchi sasa bongo kama hawapo utagharamia usafiri wa kulipeka ulaya lifanyiwe service na kulirudisha bongo?[emoji1][emoji1][emoji1] Na wenye hela zao hawanunui hizo takataka mnazonunua nyie wanyonge,wao wanatumia zilizoko kwny warranty ikiisha wananunua jingine yaani Ni mwendo wa kucheza na warranty tu.
Mwenge gari kibao zimefia paleSio atafute, bali akutafute umsaidie..
Mzee gari hizo mafundi ni wawili ninawajua, yupo huyu mwamba jitu, kuna mwamba mwingine anaitwa ivan yupo mwenge pale yeye ana deal na gari za Ulaya tu.
Huyo jamaa ana wivu tu na ushamba. Pambana uendeshe gari upendayo. Mimi mwenyewe nataka nianze 3 series ila ya kuanzia 2012 kuja juu. Hizi za chini ya 2012 nimezichoka kimuonekano.Kuwatesa watu hapana umenisingizia
Pana gari mtu akisema mbovu hadi unashangaa...Huyo jamaa tangu wambambike VW mbovu hana cha kuchangia zaidi ya kusema zote mbovu wakati wengine tuna VW hadi tumezichoka sasa in perfect condition.
Hizo gari mbili tofauti. Narudia gari mbili tofauti chukua zinafonanaJamani fuel pump ya Landcruiser Amazon 3.8m mbona ya bmw 300k bei yao nzuri.
Kwaiyo apaki gari mwezi mzima wakati mwenzio hajalala hadi kainunua dukani. Spea zipo ni hela tu. Yani mtu apande daladala mwezi mzima kusubiri spea hizo kazi achia wenye maduka.Kama unaipenda hio gari jikaze nunua kadi za kununua vitu mitandaoni agiza hio fuel pump pia nunua diagnosis code usiwe mzembe mzembe si unapends vitu vya kizungu..adopt maisha ya kizungu hadi inafika bongo hio fuel pump ni $130.2 (315,000 tshs) ushuru kimtindo hapo weka bugdet 400,000 duka ni website ni spareto.com na screenshots nimekuwekea hapo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RR itoe hapo bro hizo BM na Benz tunaendesha tuu hata mfuko ukipepea sio RR hii RR humu pana mtu wa kuitwa RRondo anaijua vizuri sana naomba siku umwage madini kwa hizi za miaka ya karibuni hasa Velar..Unahitaji uelewa gani katika kununua gari ?
Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
mmbovu ni mfuko wa mtu sio gari 😄😄😄. Yangekuwa mabovu tusingeziona mtaani na viwanda vingekuwa vimekufaPana gari mtu akisema mbovu hadi unashangaa...
Sawa basi wewe jenga nyumba mbaya ili usitese wenzio.Haya ni kwa nchi zilizoendelea. Lakini kwa Bongo sidhani. Utamaduni wetu umejijenga kwenye ''kutesa'' na ''kuteseka''.
Velar ina muonekano flani wa kuvutia sana, ile gari. Ukiitazama unaitamaniRR itoe hapo bro hizo BM na Benz tunaendesha tuu hata mfuko ukipepea sio RR hii RR humu pana mtu wa kuitwa RRondo anaijua vizuri sana naomba siku umwage madini kwa hizi za miaka ya karibuni hasa Velar..
Mnyama sana huyuHongera..
Bmw ni gari tamu sana ikiwa nzima..!
Achana na migari ya kizungu kama una hela za mawazo!Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Magari sio mabuvu tunanunua ya zamani sana gari linafanana umri na wewe kutokana na kikokoteo cha TRA upate gari ya 2017 utasumbuka nini? au ya 2020 tupo busy kuulizana kwa sababu kodi ya gari za miaka ya karibuni sio rafiki wakati huko sokoni sio ghari...mmbovu ni mfuko wa mtu sio gari 😄😄😄. Yangekuwa mabovu tusingeziona mtaani na viwanda vingekuwa vimekufa
Kwiyo German wafunge viwanda 😄😄😄 Team japana mna maneno sanaAchana na migari ya kizungu kama una hela za mawazo!
Rudi nyumbani Toyota kumenoga.
Wana slogan yao Toyota let’s go places
Hahah jamaa aliamua kukutwisha zigo la misumari.kusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Huwa nikiwaza TRA nachoka kabisa, wana mtoa mtu mwenye uchumi standard kununua gari ya kuanzia 2014 kwenda juu.. unajikuta kama unanunua magari mawiliMagari sio mabuvu tunanunua ya zamani sana gari linafanana umri na wewe kutokana na kikokoteo cha TRA upate gari ya 2017 utasumbuka nini? au ya 2020 tupo busy kuulizana kwa sababu kodi ya gari za miaka ya karibuni sio rafiki wakati huko sokoni sio ghari...
Pump nyingi za hayo magari waswahili wameenda kutengeneza China sio zenyewe za BM mimi naamini hivyo maana hapo Joberg kwenyewe hawezi kupata kwa bei hiyo...ndio hizo wanabadili kila siku na kusema BM mbovu wacha tuendelee kusikia huo mziki...Inashangaza sana mtu anakimbia kisa 300k na anasema [emoji3][emoji3]
Wangekua na kodi rafiki humu usingesikia hizo mambo za magari kila mtu angenunua gari yeyote anayoiona kama wa Mamalawi tuu..Huwa nikiwaza TRA nachoka kabisa, wana mtoa mtu mwenye uchumi standard kununua gari ya kuanzia 2014 kwenda juu.. unajikuta kama unanunua magari mawili
Mentality za kifukara hizo mkuu, nakushauri achana nazo. Hakuna service ya million 20 labda gari iwe imeanguka. Nilikaa na yule muhasibu nikaongea nae sana, service na check up za kawaida bill kubwa aliyoniambia ni Million 6, tena hapo ni gari ina worth more than 200m. Sasa kweli mtu anaafford kununua gari zaidi ya millini 200 ashindwe service ya 6M tena hapo unakuta anapeta miaka kadhaa bila service ya gharama hivo tena?Endelea tu kukabidhi gari na email, iko siku utakuta email invoice bei ya nusu gari na gari haitoki bila malipo. Washakuvuta hapo tayari bado kukupiga sasa wewe na jakaya ardhi na mbingu mwenzako kuacha million 20 kwa service ya V8 siyo tatizo.