makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Pamoja mzee.Nimepata kaka nashukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mzee.Nimepata kaka nashukuru sana
Weka na za ulaya huko toka kwa auto trader UK. au USA
Ungesaidia kuziweka wewe mkuu. Mie hiyo ndio source yangu ninayo iaminiWeka na za ulaya huko toka kwa auto trader UK. au USA
Hizo za Japan mzee..😂😂😂😂Ungesaidia kuziweka wewe mkuu. Mie hiyo ndio source yangu ninayo iamini
Ndio ila Kuna Lexus LS na Merecedes S class.. hizo sio kwamba zote zipo japan, location ni tofauti na zipo zilizopp japanaHizo za Japan mzee..😂😂😂😂
Hahaha wewe utapigwa tukio Hilo gari utalikimbiaNimepata mda wa kupitia comments nyingi wengi mnapendekeza matumizi ya toyota kwa sababu ya reliability na affordability binafsi nimeendesha toyota mark x sedan na mark x zio sijui inaitwa hatcback , kwa mara ya kwanza nilipoendesha BMW niliona nimekidhi haja ya moyo wangu nakumbuka ilikuwa 3 series latest nilipenda sana interior comfortability na body lake niliapa lazima nipate hii kitu nikaangukia kwenye 5 series
Kuna muda nakaa naiangalia ndinga ilivyopaki alafu nasema hiiiiiiiiii ikitokea shida ya ghafla kama hii ya iliyonikuta natetereka kidogo lakini sasa nimesahau kabisa kama imenicost why? My love ni kubwa over these BIG BOYS CAR kama itasumbua tena nitavunjika moyo lakini i must find a way out
Nafurahi sana staff wenzangu wanapoisifia natamani pia nipate FUGA au LEXUS ambayo ni sedan naona ni gari za kiume, siwezi kumshauri mtu asinunue au anunue gari anayopemda kwa sababu ya matunzo i just advise people to make big money you will automatically kwenye Big cars
Asiache kutuletea mrejesho tu.Hahaha wewe utapigwa tukio Hilo gari utalikimbia
Sina mengi utaleta ushuhuda humu.
Motivational speakers bana.Nakuunga mkono na mguu. Hakuna kitu kama ''gari yenye stress'' ila kuna watu wenye stress wanaonunua magari kwa pupa huku hawana fedha za service na spare!
Kwamba wewe unaweza kubishana na Scott kilmer sio? Hakika zamani ilikua mtu anafunua chupi anakutana na tako Ila kwa sasa mtu anafunua tako anakutana na chupi(Bikini)Youtube inapelekesha wabongo wengi sana kuamini mambo sivyo. Mtu akiona clip moja mbili imetoka kwa kilaza mmoja huko0 USA anaona ni kweli. Hakuna sehemu yenye upotoshaji kama social media kama hujui kuchambua na kufanya research ya kina.
That's the spirit. Si una feel good mkuu?View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
We jamaa ukiona sedan unaiona kama chapati sio? Kwamba inatambaa?Ground clearance yake haikusumbui?
Una yako.Hao ni mafukara wanaotaka ''kuonekana''. Hakuna mwenye uwezo anayelia na bei ya spare ya gari alilonunua mwenyewe kwa hiari yake bila kulazimishwa.
Mkuu tupia namba za huyo kijana anayefanya diagnosis tafadhali.Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka
Bongo haiwezekani kutokana na miundombinu ,unapita asubuhi freshi unarudi jioni unakuta Kuna tuta tena la gogo la mnazi ukiuliza oooh Kuna mtoto alisukumwa na pikipiki sasa self satisfaction ni ferali utaibebaNi self satisfaction it doesn't mean to make others feel inferior ni kama mtu mwingine anavyopenda kujenga nyumba kali hainifanyi mimi naependa kupanga kufeel inferor.