Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
Huo ni ukweli mtupu buy at your own risk.Eh hii kali, ndimu na pilipili vimekolea!!!
Hongera..View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
Hii comment iwekwe kwenye gazeti la mwananchi watu wasome.Mkuu wabongo washazoea service ni kumwaga oil tu, tena hapo bajeti unakuta kaweka top top elfu 50. Oil ya 30k, filter 10k na fundi 10k. Mbongo kupeleka gari garage ikakaguliwe yote hafanyi hiyo kazi hata akiwa na safari ya kwenda mbali atamwaga oil tu tena hapo kama imemaliza au imekaribia kilomita. Tyre wananunua hizi za kichina na hapo kubadilisha ni mpaka iwe kipara. Tyre za kichina sio reliable kabisa, tena hasa kwa safari ndefu ila kwakuwa tunapenda vya bei rahisi tunaona poa tu.
Gari ya kizungu lazıma ukubali kila baada ya miezi sita at least uipeleke check up, tena sio zile chini ya mti ni ile unakabidhi gari na email yako wewe unaendelea na mambo yako. Check up ikiwa tayari unakutana na Invoice kwenye email unalipa unaenda na slip yak unachukua mali yako na guarantee juu.
Nilijisikia fahari sana nimepeleka gari service siku naenda kuchukua nikakaa na Muhasibu wao kuongea akaniambia ile garage Mzee Jakaya ndio garage ya magari yake. Na wala bill haikuwa kubwa, walikagua gari na wakatoa spare ambayo waliona inaelekea mwisho wakaweka nyingine basi, ningepeleka chini ya mwembe vingebadilishwa mpaka vizima ili kazi iwe kubwa na wao apate pesa nyingi.
Individual opinion should not be taken as industry standards.
Tazameni hii video halafu mshushe comments zenu,hii in service ya 2001 BMW 3 series. Kabla hazijawa complicated zaidi.
Ground clearance yake haikusumbui?View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
Umeambiwa tatizo lake ilikuwa ni niniImepona kuna kitu kidogo nado lakini hakinisumbui bajeti ya bia imekata
Mwanaume hakimbii matatizo.View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
😄😄😄 Na wenye hela zao hawanunui hizo takataka mnazonunua nyie wanyonge,wao wanatumia zilizoko kwny warranty ikiisha wananunua jingine yaani Ni mwendo wa kucheza na warranty tu.Unahitaji uelewa gani katika kununua gari ?
Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
yaaah! maisha hayafanani😄😄😄 Na wenye hela zao hawanunui hizo takataka mnazonunua nyie wanyonge,wao wanatumia zilizoko kwny warranty ikiisha wananunua jingine yaani Ni mwendo wa kucheza na warranty tu.
Safi..View attachment 2275429
I am back Total costs 520k Vitz inaumiza miguu yangu mirefu nimeamua kupambana tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Sio atafute, bali akutafute umsaidie..Utanunua vitu mpaka kichwa kikuume.
Usikute ni mafuta tu ya kidebe yamewekwa humo.
Hizo gari zinakuwa sensitive kutrigger trouble codes au kuwasha dashboard lights siyo kama gari za kijapani sijui ni kwanini watu mnakimbilia ramli.
Anza na uliyemuazima gari, kuna nini kilifanyika, aliweka mafuta wapi! n.k.
Ukitoka hapo tafuta mashine ya Diagnosis ufanye diagnosis.