Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongera sana.Mrejesho;
Leo nimeuza BMW yangu 5 series sh. 4.5 Million na kuongeza pesa nichukue toyota allion jan motors ilinikondesha sana na sasa ni muda wa kurudisha kitambi.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji24][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]......na jinsi unavyoijali wewe mwenye gari,tofauti na aliyeazima,yeye anaenda na muda,mimi kitu ninachowaazima majirani zangu ni ngazi ya mbao tu.
😁😁😁😁[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji24][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]......
Ongera sana.
Magari ya ulaya ni pasua kichwa kama hautakuwa na fundi mzuri.
Unakuta gari ulilinunua kwa 20mil. alafu unakuja kuuza kwa robo ya bei uliyonunulia.
Huyo aliyenunua sijui kama ataweza kulihudumia gari kama ilo, linaenda kumfia.
Ilo gari ni zaidi ya nyonya dam nimejitahidi kujikaza ila wapi kanunua dalali sijui atalifanyaje fanyaje maana anadai analimuduOngera sana.
Magari ya ulaya ni pasua kichwa kama hautakuwa na fundi mzuri.
Unakuta gari ulilinunua kwa 20mil. alafu unakuja kuuza kwa robo ya bei uliyonunulia.
Huyo aliyenunua sijui kama ataweza kulihudumia gari kama ilo, linaenda kumfia.
Niliwahi kuwa na gari kama hiyo ya mwaka 2009 niliinunua kutoka Japan ikiwa na km kwenye 29,000, nilikuja kuiuza ikiwa na km kwenye 52,000.Ilo gari ni zaidi ya nyonya dam nimejitahidi kujikaza ila wapi kanunua dalali sijui atalifanyaje fanyaje maana anadai analimudu
Umeyaaga mashindano mkuuMrejesho;
Leo nimeuza BMW yangu 5 series sh. 4.5 Million na kuongeza pesa nichukue toyota allion jan motors ilinikondesha sana na sasa ni muda wa kurudisha kitambi.
Linapigwa car wash, polish, anatafutwa kilaza atoe 10M afe naloIlo gari ni zaidi ya nyonya dam nimejitahidi kujikaza ila wapi kanunua dalali sijui atalifanyaje fanyaje maana anadai analimudu
Cashflow za kuunga unga mkuu mshahara na posho vinaishia kwenye gariNiliwahi kuwa na gari kama hiyo ya mwaka 2009 niliinunua kutoka Japan ikiwa na km kwenye 29,000, nilikuja kuiuza ikiwa na km kwenye 52,000.
Haikuwahi kunisumbua, zaidi ya service za kawaida na kubadilisha break pads pamoja na break pads sensor na pia nilikuja kubadilisha battery baada ya kuitumia kwa takribani miaka 5.
Battery ilkkuwa imeandikwa BMW nikaweka ya Bosch ambayo gharama yake ilikuwa kwenye laki 8.
Sasa hivi nimehamia kwenye Discovery 3.
Uzuri niliponunua hiyo BMW nilinunua na Diagnostic Machine aina ya Autel, kwahiyo kama kuna shida na scan nikipata codes naimgia kwenye mitandao Zapata shule ya coses zenyewe alafu nakwenda garage namwambia fundi fanya hiki na hiki na tatizo linakwisha ila ni fundi.
Mpaka nauza lilikuwa linameremeta kwenye dashboard uskani unagonga, kuwaka mpaka nikanyage accelerator (starter inakufa), performance imepungua, ukikanyaga sana mafuta kama inamiss na vingine vidogo dogoKwani ilileta Isha gani nyingine zaidi ya fuel pump?
Aisee, wee ulinunua ngap mkuu hyo bmw?Mrejesho;
Leo nimeuza BMW yangu 5 series sh. 4.5 Million na kuongeza pesa nichukue toyota allion jan motors ilinikondesha sana na sasa ni muda wa kurudisha kitambi.
Duh [emoji849] bmw ni gari ila inahiyaji matunzo na Pesa pia sio ya madafu mzeekusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Bmw hiyo ni gari rahisi sana sema inatakiwa uwe muagizaji wa kwanza maana wengi Tanzania hawafanyi services wao ni kuendesha tu sasa ukikutana nalo utakutana na matatizo ya kumwaga ila BMW 5 au Six ni gari hizo..Ilo gari ni zaidi ya nyonya dam nimejitahidi kujikaza ila wapi kanunua dalali sijui atalifanyaje fanyaje maana anadai analimudu
Inategemeana ya mwaka gani hiyo used mkuu mbona zipo used za miaka ya karibuni na hazina usumbufu shida ni hiyo miaka ya 2004,5,6 hapo hapana upate used ya 2015 kuendelea X 5 matatizo yake utakuja kuyasikia baada ya kutumia sana gari kinachotusumbua sio magari ni kodi ya TRA ndio maana watu wanaagiza machakavu na kuja kulalamika hapa...Ukinunua BMW used toka Japan/Ulaya ni kama umechimba shimo la kufukia hela zako mwenyewe.