tabia na muonekano upi ? fafanua ili tukusaidie na hilo gamba lako
Tafuta pesa zako ili ukose sababu ya kua nae....mwanaume halelewi!!
Tolowski
Yesterday 12:29 PM
Member
Join Date : 28th April 2011
Posts : 49
Thanks0Thanked 4 Times in 3 Posts
Rep Power : 0
Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
.........................................................................................
Wewe bwanamdogo huna akili!
Ndiyo maana unashikwa mapembe na mwanamke!
Kama unapewa hela na huyo mwanamke peleka tuisheni ukajisomeshe japo elimu ya watu wazima (EWW)!
Kama uko chuo na bado unashabikia wakoloni wa kiafrica wanaoangamiza nchi hii bado hujakombolewa na shule hiyo!Nishafight sana,na sasa ndo nipo chuo last year nategemea kumaliza july and hopeful nitakamata job! Kama umepitia chuo i hope u knw chuo life linavyokaba
Tolowski
Yesterday 12:29 PM
Member
Join Date : 28th April 2011
Posts : 49
Thanks0Thanked 4 Times in 3 Posts
Rep Power : 0
Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
.........................................................................................[/QUOTE ENDELEA NA KUJIDANGANYA HUKO UNAKOJIDANGANYA, angalia mikutano ya NAPE NNAHUYE KISHA LINGANISHA NA NHIYO UNAYOIPONDA YA DR SLAA, kisha acha akili zako ziwe huru kufukiri UTAPATA JIBU.
Wewe bwanamdogo huna akili!
Ndiyo maana unashikwa mapembe na mwanamke!
Kama unapewa hela na huyo mwanamke peleka tuisheni ukajisomeshe japo elimu ya watu wazima (EWW)!
Wakubwa nina hilo gamba nalifananisha na EL! Nina miaka kama 6 na huyu demu but katika miaka hiyo kashindwa kabisa kubadilika both kitabia and kimuonekano! Demu ananipenda sana tatizo ni tabia yake and muonekano wake! Ila uzuri wake ana mavumba sana so mtu mzima shida ndogo ndogo hazinisumbui! Ni mwaka wa 2 sasa nipo kwenye strategy ya kulivua hili gamba but nachemsha! Now i can see kwa nini ccm wanashake kuwachomoa mapacha3, ushawishi wa mapene ni noma wakubwa!! Nifanyeje???
naona tuwaite kondoo, mabuzi ni wana wakeusiwe tegemezi weka mipango endelevu,mwambie akufungulie biashara usimamie,ukiweza kusimama muache taratibu ila duh imeniuma kumbe wakaka huwa saa nyengine na nyie mnachuna mabuzi?(wa kike nao wanaitwa mabuzi au?lol)
Mkuu umeonaeeee ana magamba mengi sana huyu, tabia ya kifisadi ni kula jasho la wengine, hebu angalia sasa anaposhindwa kufanya uamuzi anaouona kuwa sahihi eti kisa pesa! Na usim2mie bint wa wa2 kama ngazi afu ukamwage!Kama uko chuo na bado unashabikia wakoloni wa kiafrica wanaoangamiza nchi hii bado hujakombolewa na shule hiyo!
Kama unashindwa kutambua juhudi za Watanzania wachache wanopigana kuwaelewesha wananchi na kuwafungua macho ili wapige kelele wanapoibiwa, basi wewe una tatizo lisiloponyeka!
Usitafute kuonewa huruma wakati mwenyewe unashindwa kujitetea...Futa kauli zako za hapo juu nilipokuquote, ndipo utakuwa umejivua gamba!
Vinginevyo unaonekana kichaa hapa ndani!...nimemaliza!
kula tigo!
Kama uko chuo na bado unashabikia wakoloni wa kiafrica wanaoangamiza nchi hii bado hujakombolewa na shule hiyo!
Kama unashindwa kutambua juhudi za Watanzania wachache wanopigana kuwaelewesha wananchi na kuwafungua macho ili wapige kelele wanapoibiwa, basi wewe una tatizo lisiloponyeka!
Usitafute kuonewa huruma wakati mwenyewe unashindwa kujitetea...Futa kauli zako za hapo juu nilipokuquote, ndipo utakuwa umejivua gamba!
Vinginevyo unaonekana kichaa hapa ndani!...nimemaliza!
si kweli!swali la huyu jamaa ni la kinafiki.Ayaaaaah!!! avatar yako tells who u r!!