Tolowski
Yesterday 12:29 PM
Member
Join Date : 28th April 2011
Posts : 49
Thanks0Thanked 4 Times in 3 Posts
Rep Power : 0
Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc!
Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
.........................................................................................
Wewe bwanamdogo huna akili!
Ndiyo maana unashikwa mapembe na mwanamke!
Kama unapewa hela na huyo mwanamke peleka tuisheni ukajisomeshe japo elimu ya watu wazima (EWW)!
[/QUOTE ENDELEA NA KUJIDANGANYA HUKO UNAKOJIDANGANYA, angalia mikutano ya NAPE NNAHUYE KISHA LINGANISHA NA NHIYO UNAYOIPONDA YA DR SLAA, kisha acha akili zako ziwe huru kufukiri UTAPATA JIBU.