Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

Nashindwa Kum - block na kum - unblock X (mpenzi wa zamani) moja kwa moja

Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja,napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a view!!!!!!!.....mtoto anaishi nae.
Mtoto ana mtoto
 
Pambania green card mkuu ikishindikana jilipue tu , uje ule maisha tu kama ni wa hivyo utafurah sna.
Kuna bro Moja aliforce akapenya Dubai akapiga kazi kwenye kampuni akawa mfanyakazi bora akapiga cross training akaomba kazi Biden land akapata mi namaliza chuo yy anaripoti kazini
 
Back
Top Bottom