binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ndio nimekuchagua...weweMimi unanisingizia 😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nimekuchagua...weweMimi unanisingizia 😁😁😁
Tatizo mimi ni kibaka 😭Ndio nimekuchagua...wewe
Kama nani? Hebu mtaje wa humu. (Ona navyotaka kukugombanisha na wananchi) 😂Tatizo mimi ni kibaka 😭
Kama mimi mwenyewe tu😄Kama nani? Hebu mtaje wa humu. (Ona navyotaka kukugombanisha na wananchi) 😂
Haaaaa hands down!Kama mimi mwenyewe tu😄
You feel, not you feels.Bado unampenda, Ex anatakiwa kuwa non existing creature... either unamuona au humuoni you feels nothing.
Acheni kuwaacha watu kama bado mnawapenda.
Upo positive sana ,huwa nafurahi kusoma michango yako 😊Haaaaa hands down!
Ukweli mchungu ni kuwa bado anampenda tena sana.Bado unampenda, Ex anatakiwa kuwa non existing creature... either unamuona au humuoni you feels nothing.
Acheni kuwaacha watu kama bado mnawapenda.
Mkuu umesahau yaliyojiri kwenye kikao cha tarehe 22 April , usifute namba ya Ex .Ukweli mchungu ni kuwa bado anampenda tena sana.
Ex hatakiwi kuwa hata kwenye contact list.
Noted with thanks...You feel, not you feels.
Shemeji si unajua mapenzi na akili havikai pamoja... atokee baharia mmoja hapa amchukue ili aweze kumove on.Ukweli mchungu ni kuwa bado anampenda tena sana.
Ex hatakiwi kuwa hata kwenye contact list.
Ni kweli shemeji kwa baadhi ya watu ni hivyo.Shemeji si unajua mapenzi na akili havikai pamoja... atokee baharia mmoja hapa amchukue ili aweze kumove on.
Asingeblock na kuunblock!Ni kweli shemeji kwa baadhi ya watu ni hivyo.
Si anae baharia tayari au huyo hajamtosha kumfanya amsahau ba chanja wake.
Mimi nafuta vizuri sitakagi kero. Kuna mmoja nae alikuwa ananifanyia hivyo nikafutilia mbali namba yake, akanipigia mbona sikuhizi sioni status zako , nikamwambia kama sina whatsapp.Mkuu umesahau yaliyojiri kwenye kikao cha tarehe 22 April , usifute namba ya Ex .
Mimi nafuta vizuri sitakagi kero. Kuna mmoja nae alikuwa ananifanyia hivyo nikafutilia mbali namba yake, akanipigia mbona sikuhizi sioni status zako , nikamwambia kama sina whatsapp.
basi tumpe ndugu yetu Mpaji Mungu atamsahaulisha yote yaliyopita😅Asingeblock na kuunblock!
Shem shem kuna vitu ukiviona kwa KE havidanganyi.
😂