Nashindwa kumsahau demu wangu wa sekondari

Nashindwa kumsahau demu wangu wa sekondari

aisee kumbe Mimi bado sana ,Miaka mi 5 tu naona kama mwezi...
Ngoja niwe na subra.
 
Ila kuna watu n wagumu kumove on
Hayo mambo anajitakia tu mwenyewe maana huwezi kukaa unamuwaza mtu asie tambua maumivu unayoyapitia, nilioigwagwa na tukio nikasema mapenzi nayapa asilimia ndogo sana na sasa hivi namshukuru Mungu nime move on Tena Sana kwa sababu muda mwingi nawaza kwenye productivity
 
Kumove on ni faida sana kwa afya ya akili na moyo wako. Nilichojifunza ni kuwa kama mtu hakuitaji n hakuitaji tu, kumganda ni kujitakia maumivu ya bure tu.
 
Inakuwaje wakuu,

Hii hali inanisumbua sana nashindwa kumsahau huyu mwanamke niliyekuwa napendana naye kipindi nipo o level. Tulishaachana na yeye alishapata mtu mwingine. Imepita takribani miaka kumi ila bado hatoki kichwani.
Miaka kumi wapi we dogo?
Mwaka jana tu ndo miaka kumi?

Kenge wewe, jiandae secondary zinafunguliwa ukamalizie advance,

Anyway, jitahidi kumsahau, utakutana na pisi nyingine ukifika IFM, kina Grace Kisaka
 
Nipo nae huku,hua anajilaumu sana kwa kukutana na wewe hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom