I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno,
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae
Kitendo cha Magufuli rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa natura ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisuI declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Akili ya Tekno kumbe ndo IPO hivo ??I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Taarifa za ndani na zenye uhakika mkubwa zinasema kuwa Meko mwenyewe ndio alifadhili lile tukio.I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona upo! Kuna clip alikuwa anaongea somewhere, akawauliza wakaribu yake" DAWA ya MSALITI mnapokuwa kwenye uwanja wa vita ni nini'Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya?
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Kweli tupuMzalendo ni mbowe wengine wahuni.
Lakini yeye kafa jamaa ana dunda UlayaMbona upo! Kuna clip alikuwa anaongea somewhere, akawauliza wakaribu yake" DAWA ya MSALITI mnapokuwa kwenye uwanja wa vita ni nini'
Kilichofuata, maumivu
Hapo ndipo uwepo wa MUNGU ulipoEti ilisemekana hata mipango ya mazishi ilishapangwa in advance? [emoji24][emoji24][emoji848][emoji848]
Mwenyezi Mungu ni zaidi ya fundi na Mhandisi.!