Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Mungu amempenda zaidi,wewe ni nani ata ushindwe kumsamehe? Samehe mara saba mara sabini, asema Yesu Kristo
 
Kuto kusamehe kunatosha kukupeleka kwenye makao ya Wafu waliopoteza matumaini Kuzimu.
 
Matukio yote ya kumshambulia binadamu sio mazuri hata kidogo.
Binadamu wanaroho ngumu sana na hawajali maisha ya watu wengine ndio maana kilasiku tuna sikia watu wanashambuliwa na kuuwawa kinyama.

Matukio kama hayo yalikuwepo kabla ya Magu, wakati wa Magu, na hata baada ya Magu tunasikia watu wanashambuliwa na kuuwawa kinyama, mengine ni juzi tu huko arusha tofauti ni aina tu ya mashambulizi lakini shambulizi ni shambulizitu.

Sasa wewe kama unaumia roho kiasihicho kwa sababu unahisi kwamba huyo usietaka kumsamehe ndio amehusika basi utakufa kwa kihoro.

Tunaambiwa hakuna dhambi ndogo,wewe kumbuka kuomba msamaha kwa uliowakosea ili upate rehema kwa Mungu wako, kutangazia watu kwamba hutamsamehe mtu fulani niujinga na upumbavu maana Mungu anataka watu kusameheana.
Toa upuuzi wako hapa.
 
Shetani, Ibilisi Magufuli ni shetani mshenzi sana.
Twende na mama mtu mwenye roho ya Kitanzania yenye upendo

Umeshindwa kujua kwamba mama alikuwa makamu wa rais wakati hilotukio la mashambulizi linatokea?

Badala hata ya kumuomba afanye uchunguzi sababu alikuwa kiongozi mkuu wa nchi namba 2 weuna tingisha bichwa lako kubwa kuchekacheka tu nakusifia kama juha.
 
siku yaja ambapo waliotaka kumuua Lissu na waliomuua Dr. Magufuli watajulikana na watakabiliana na mkono wa sheria.
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Umetukumbusha machungu mkuu...
 
Haramia ni yule aliekuambia ukatengeneze cheti feki ili upate kazi.
Huu ni wakati wa Mama,nimejiajiri na mambo yanakwenda safi Vitumbua mezani vya kutosha Wake zangu wanang'aa khanga mpya kila wiki


Nyie nendeni mkakeshe kwenye kaburi hapo kando ya Ziwa.
 
Samia alienda kumuona lissu alimpa pia salamu za rais..
Mkuu mbona huhoji hata uongozi uliopo sasa bado umekaa kimya kuhusu tukio hilo..?
Mkuu Kama utakuwa umenielewa vyema swali lako nishalijibu Soma komenti yangu ya Kwanza.
Kwa jibu lako hili maana yake ni kuwa mkono wake ulikuwepo. Lakini kwanini tuwindane kama swala na chui ?!. Kisa kutofautiana mawazo !! Hii nchi tutaiacha sote pamoja na hao wanaojichukulia kama wazalendo namba moja
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu hoja yako aina logic, kama hauna approval evidence ...... punguza assumptions,zisizo na uhakika asee
Ukiitwa ujitete....
Ni
 
Kwa jibu lako hili maana yake ni kuwa mkono wake ulikuwepo. Lakini kwanini tuwindane kama swala na chui ?!. Kisa kutofautiana mawazo !! Hii nchi tutaiacha sote pamoja na hao wanaojichukulia kama wazalendo namba moja
Umenielewa tofauti ndugu! Hakuna niliposema jamaa alihusika au hakuhusika isipokuwa Jambo hili litazamwe kwa upana na sio kuelekea upande mmoja.
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mungu wa mbinguni akubariki
 
Watu wanashindwa kufahamu siasa inamichezo mingi michafu!.
Inanipa wakati mgumu kwa namna tukio lile lilivyotokea kuwa kulikuwa na nguvu ya rais!!. Tukio lilifanyika kicholeshaji sana na kigaidi mno watu hufikiri upande mmoja wa kuwa rais anahusika hawafikiri rais pia huwa anamaadui na wanaweza kuchoresha tukio kama lile ili kuharibu taswira yake!.

Vitu haviendi vile wengi wanavyoona picha huchoreshwa..
Matukio kama haya hata kwenye nchi kubwa huleta utata just nchi Kama marekani bado hawajatolea ufafanuzi wa kina juu ya kifo cha aliekuwa rais wao jf Kennedy!. Zigo Kama hilo hukuta serikali iliyofuata ndio hutupiwa.

Nafikiri vitu Kama hivi huvikalia kimya kwamaana huona ukimya unastahili kwa wakati huo,muda wa sisi kuja kutoa hukumu utafika taarifa sahihi zitakapotolewa tuacheni ramli.
Unaandika kishabiki sana hadi umeingia kwenye kichaka cha cha conspiracies za JFK kumtetea mpendwa wako. Ulichofanya ni kulinganisha machungwa na mananasi tu.

Ukiachilia mbali mtu aliyehusika na mauji ya Kennedy alijulikana na alikamatwa pia fahamu kwamba FBI na CIA walikwisha toa taarifa na wameendelea ku declassify ripoti nyingi kuhusu tukio zima la kuuwawa kwa JFK, kulikuwa hadi na kamati za seneti/bunge(live) na kamati maalum ya Rais kufuatilia, kujadili na kutoa repoti kuhusu tukio hilo.

Watu kuamini au kutaka kutokuamini majibu yaliyofanana ya FBI, CIA, kamati ya bunge na kamati ya Rais ni jambo lingine lakini angalau uchunguzi ulifanyika na taarifa ambazo hazipingani zilitolewa na vyombo vinne tofauti.Familia ya Kennedy na Chama chake cha Democrat hawana malalamiko au dukuku kuhusu kifo chake. Kwa upande mwingine hakujawahi kuwa na taarifa YOYOTE kwa taifa kutoka serikalini au bungeni kuhusu kushambuliwa kwa Lissu.
 
Watu wanashindwa kufahamu siasa inamichezo mingi michafu!.
Inanipa wakati mgumu kwa namna tukio lile lilivyotokea kuwa kulikuwa na nguvu ya rais!!. Tukio lilifanyika kicholeshaji sana na kigaidi mno watu hufikiri upande mmoja wa kuwa rais anahusika hawafikiri rais pia huwa anamaadui na wanaweza kuchoresha tukio kama lile ili kuharibu taswira yake!.

Vitu haviendi vile wengi wanavyoona picha huchoreshwa..
Matukio kama haya hata kwenye nchi kubwa huleta utata just nchi Kama marekani bado hawajatolea ufafanuzi wa kina juu ya kifo cha aliekuwa rais wao jf Kennedy!. Zigo Kama hilo hukuta serikali iliyofuata ndio hutupiwa.

Nafikiri vitu Kama hivi huvikalia kimya kwamaana huona ukimya unastahili kwa wakati huo,muda wa sisi kuja kutoa hukumu utafika taarifa sahihi zitakapotolewa tuacheni ramli.
Lee Oswald mtu aliyempiga Kennedy risasi alikamatwa siku hiyo hiyo, haikuwa katika majengo ya serikali na hakukuwa na CCTV camera.
 
Muulize Sirro, Sasa magu aanze kuingilia kazi za kipelezi kwa mda gani?
Kuzuia matibabu na kumnyima haki zake za kibunge, hilo nalo vipi? Wabunge wa CCM na wana CCM wengine kuzuiwa kwenda kumuona Nairobi nako ni sehemu ya upelelezi? Hujui hadi leo wabunge wengi wa CCM na wana CCM wengine wanaumia sana kushindwa kwenda kumuona Nairobi?

Muacheni abebe mzigo wa dhambi mwenyewe, msimsaidie kwa jambo msilolijua.
 
Back
Top Bottom