Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Hapa ndipo unadhihirisha ushabiki wako kwa jiwe, punguza mahaba na kubali kuwa kasoro moja kubwa katika utawala wa kipenzi Chako ni suala lake la kuonesha chuki iliyozidi dhidi ya Lissu na mengine yaendelee
inshu tunaitaji ushahidi wa uhusika wa JPM kwenye tukio la Lissu , pili hv unahisi Tundu Lissu hakuandika taarifa yoyote juu ya hali yake , halafu bunge ingetoaje ela bila kuwepo repoti ya muhusika kuwa katika hali mbaya ? ttzo lako kaka umekufa umeoza kwa CHADEMA yaan hizo ni logic simple sana ila nashangaa mtu uliyebarehe/ kuvunja ungo huez kuzielewa
 
Hivi wewe unajielewa unachokiandika, tukio la Lissu halikufanyika kifichoni, kitendo cha askari kufika eneo la tukio kama walivyofika pale Dom na kuona ni nukta yao ya kuanza uchunguzi.

Acha kukimbilia kuwa watu Wana ushabiki wa vyama kama ulivyo wewe.
Ndio maana nakuambia bado una upeo mdogo , kila kitu serikalin kinaenda kwa maandishi ,iwe hadharani au kifichoni ila kama hujarepot polis basi hakuna wa kufuatilia maana unafuatilia nn ?
 
Umeandika pumba tupu.Itakuwa huna akili
Hizo akili azitoe wapi, kwa kuanzia tu hakuna mahakama inayodili na civil case za marehemu; labda aifungulie case serikali.

Then only the government prosecution inaweza fungua hizo case based on various factors.

Otherwise wanasheria wengine case wanazoweza fungua ni civilal claims only.

Upuuzi wa watu wana ongea nchi hii is beyond me.
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.


Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

Wito aliotoa Mh Hayati John Pombe alitakiwa kusema Namuombea apone haraka na kuvitaka vyombo vya dola vifanye uchunguzi haraka kubaini wahusika.
 
Ndio maana nakuambia bado una upeo mdogo , kila kitu serikalin kinaenda kwa maandishi ,iwe hadharani au kifichoni ila kama hujarepot polis basi hakuna wa kufuatilia maana unafuatilia nn ?
Mbona mtaani mambo hayako hivyo?
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

mpumbavu makufuli haitaji msamaha wako wala wa chadema. makufuli kaisha samehewa na mungu
 
Uenyeji ndo ushahidi wa tuhuma zenu ? hv Chadema mmekuwaj siku hz , mbona tulikwa na watu elite sana , Lowasa katuletea taka taka huku
Naona ni hitimisho kwa kuandika hivi, Magufuli alishiriki shambulizi dhidi ya lissu. Uenyeji wangu hapa nchini uliniwezesha kuona behaviours za serekali Juu ya tukio hilo, hata sasa inavyo endelea kulihanndle ni tabu tupu. Kama nimeweza kuona tabia za serekali tangu tukio lilipotokea hivyo, kushindwa kuhitimisha kwa kuihusisha serekali ya Magu kunafanya ubinadamu wangu kuwa questionable.
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.


Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

Ndugu pasco, mashetani niwepi hawa wanaotajwa kwenye vitabu vya dini? Jibu nikwamba mashetani ni binadamu hawahawa wanaotenda vitendo vya kikatili dhidi ya binadamu wenzao mfano mzuri ni Magu. Pasco hoja zako niza kiwendawazimu chief. Usingekua mwendawazimu ungeuliza maswali haya ;
1. Nani aliamuru walinzi wa makazi ya viongozi waondolewe ili Lisu ashambuliwe mchana kweupe ?

2. Kwanini zing'olewe CCTV camera kwenye nyumba ya kalemani mweshimiwa ambazo zingeweka ushaid peupe?

3. Kwanini Tl aftwatiliwe na hao wauwaji na atoe taarifa bila hata hatua zozote za kiusalama kuchukuliwa pamoja na kuta ja magari yanayomfatilia na namba zake?
4. Kwanini shambulio la TL litokee Mara tu ya poti wako kusema msaliti anastahili kuuawa?
Maswali ni mengi na yote yana point finger kwa mwendazake ambaye alijaa roho ya ukatili kama shetani mwenyewe.
 
Utafanyaj uchunguz kwa kituba ambacho akijafunguliwa tuhuma ( akijarepotiwa polisi ) , kuna muda uchadema tuweke pemben na tuwe wakweli
Nimekufuatilia humu. Nimeona wewe ndiyo hujielewi na umekalia ushabiki . Tukio kama la hamza liliripotiwa wapi ?!. Mbona uchunguzi umefanyika na kauli POLISI imetoka !! Iwe Je hili la Lissu aliyeperekwa Nairobi akiwa amezimia hajitambui, mpaka arudi aripoti tukio polisi , ndo ahudumiwe ?!


Umezungumzia makada waliouliwa mwanza. Unasahau Ukerewe, Nyamongo , ifakara, hananasifu, mbeya etc wameuliwa wanaCdm kibao . NANI ALIJALI ?!
 
Yulr ni zaidi ya shetani haitaji msamaha popote mbinguni na duniani?
images (3).jpeg
 
Alidhani yeye ataishi milele. Akasahau malipo ni hapa hapa duniani. Tutende mema na tusibaguane kwaajili ya vyama. Hakuna aliye bora kuliko mwingine
Kwanini wafurahia kifo cha binadamu mwenzako? Wewe wajua zamu yako lini? Ama wewe utaishi milele?
 
Uhusuka wake unabebwa na mazingira pasi na shaka, nani alito kamera pale kwa lisu, kwanini jeshi lilizuia ibada maalum kwa ajili ya lissu, kwanini bunge liligoma kumtibian , kwanini uchunguzi usianzie kwa aliye toa cctv camera kama kweli serikali haihusiki. Na ninani mwenye mamlaka ya kutoka cctv camera eneo la nyumba za mawaziri je ni vibaka?

camera alizitoa magufuli.

sio jeshi ni magufuli ndiye alizuia ibada za kumtibu lissu.

magufuli aliliagiza bunge lisimlipie matibabu,mpaka mbowe alimpomtishia magufuli kumpiga,ndipo ndugai akatoa hela.

ni magufuli ndiye mwenye mamlaka ya kutoa camera,jengo lolote.
Hope umefurahi sasa au vipi????
 
Toa huo unaouita uchadema & uccm turudi kwenye reality. Kwamba kweli alikuwa hajulikani alipo ?!. Yoote yana mwisho , hata Maghufuli leo kaiacha ofisi , ni wengine tena ambao asingependa wafaidi leo ndiyo wanaofaidi.

Mataifa yaliopiga hatua kabisa , viongozi wao hawana sababu za kukataa kukosolewa , wala hawanganganii uongozi . Tatizo lina nchi zetu masikini kiuongozi

mkuu ujinga wenu ndio unaua chama mnachokitegemea,wala sio mikono ya mtu mwingine.

kilichofanya mpaka lissu kulipwa madai yake ni ubinaadamu tu,sio kanuni.

wewe kazini kwenu umebinuka na boda boda,unaambiwa utatibiwa na hospital ya ofisi.unakwenda kutibiwa unapopajua wewe,halafu taarifa unasema wanajua nilioi siwezi iandikia ofisi.huu upumbavu huwa unafanywa na wanasiasa tu kwa maelengo ya kisiasa.
 
We ndo haujielewi na ushabiki kwa jiwe ndo unakusumbua. Suala la uchunguzi wa tukio kama hilo na sehemu nyeti kama hiyo ni jukumu la vyombo vya dola kufanya vyovyote wawezavyo kwa taaluma zao kufanya uchunguzi maana hili litakuwa ni kwa maslahi ya usalama wa nchi, kinyume chake watakuwa wanajua kinachoendelea.

Aliyekwambia kuwa tukio la Lissu halikuripotiwa police ni nani?. Acha utetezi wa kijuha.

wawe wanajua au hawajui au wamejua baada ya kuchunguza,lissu anachangia kufanyiwa aliyofanyiwa.


unagomaje kutia ushirijiano!!!ni hisia tu zinakituma.
 
Bwana njaa ww ni fala tu. Magufuli alitaka kummua Lissu. Hicho kitweet wala sio chake ni wasaidizi wake wakizuga. Kaa na nja yako ya mpka kichwani
Magufuli was a devil. period!

wewe njaa yako iko matakoni kwako,balaa lake ni balaa[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Alidhani yeye ataishi milele. Akasahau malipo ni hapa hapa duniani. Tutende mema na tusibaguane kwaajili ya vyama. Hakuna aliye bora kuliko mwingine

utende mazuri au mabaya kufa utakufa tu.

ujinga ni kudhani ukitenda unayodhani mema unamhonga Mungu.
 
Back
Top Bottom