Nashindwa kumuelewa huyu mdada

Nashindwa kumuelewa huyu mdada

Una miaka mingapi?

You are addicted with question! I have seen several posts of yours asking this question. Personally i believe age is just a number. There are old people and yet immature and vice versa.
 
kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya kimapenzi/kimahaba kama vile sweet,baby darling and so forth..BUT yeye anataka nimuite jina lake kama jina lake tu.Sasa mimi hapo kidogo nakuwa nipo dilemma coz nashindwa kumuelewa huyu bint is truly she loves me ? n why mimi hataki nimuite majina ya kimapenzi ,au kuna mtu mwingine anayestahili kumuita majina hayo.NIMEILETA MADA HII KWENU wanajamii wenzangu ili nipate mawazo yenu kuhusu hili suala coz nashindwa kumuelewa.

achana nae hiyo ni dalili zaukiruka njia.
 
hivi mama ako anamuita hiyo mijina yako baba ako? Badirika ujinga mzigo kwan ukitwa honey radha ya nyapu inabadirika? Kikubwa ni mijiupendo hayo mengine mbwembwe.
 
Nikupige changa la saburi??

Is this an invitation to trit??

Hivi Kongosho, siku zote nausikiaga huu msemo "changa la macho"
hakunaga changa la eneo jingine? Mf. Changa la saburi , n. k
 
Kwa kikwetu alitakiwa akuite shejawana i think this sounds great and natural kuliko kuiga! Muda mfupi ndio nimetoka home na wife akauliza kwanini naondoka pasi kumuaga? nikacheka kisha nikamwambia gudbai swit hati losheni...Akaishia kucheka tu nikaondoka zangu. Point yangu ni kwamba haya majina hayana maana yoyote zaidi ya ujinga na ulimbukeni hadi kesho mke wangu ananiita ELLI au shejawanangu which i like most
 
achana na mambo ya majin ya kudanganyana,ili mradi utapata tamu sasa hayo ya majina ya nini bana.
 
kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya kimapenzi/kimahaba kama vile sweet,baby darling and so forth..BUT yeye anataka nimuite jina lake kama jina lake tu.Sasa mimi hapo kidogo nakuwa nipo dilemma coz nashindwa kumuelewa huyu bint is truly she loves me ? n why mimi hataki nimuite majina ya kimapenzi ,au kuna mtu mwingine anayestahili kumuita majina hayo.NIMEILETA MADA HII KWENU wanajamii wenzangu ili nipate mawazo yenu kuhusu hili suala coz nashindwa kumuelewa.



Call people by name.The sweetest music to anyone's ears is the sound ofhis/her own name by J.Maurus
 
kichwa chako ndio serikali yako coz hata mkishauriwa huwa hamsikii so pima mwenyewe
 
ahhahahaah umenichekesha kweli....

Jesy!
Ukicheka mi nafurahi memberment umeongeza life! Bt nawe unabaki na deni la kun'chekesha namie!
Mf. Rite now nimenuna si polepole!
Domo nimelivuta urefu wa mswaki ukiwa kinywani !
 
I had the same issue with my wife, kabla hatujaoana alikuwa anapenda Sana kuniita hayo Madudu, Mimi sikuwa napenda maana just felt ni kuiga and it was not real from the heart, I appreciate and like that habit of your gf, it can be that she doenst feel it natural or ril, nawe uwa unasema humaanishi, kisharobaro na ku show off, can I have her phone number please? Just PM me Kama umemchoka, she is 100% invited to talk to me.
unataka kumpiga chini mkeo??
 
Mapenzi hayapimwi kwa majin hay unayoyatak wewe,angalia anakujal?
 
hata mi sipendi kuitwa hivo, yashapoteza maana yake, anataka u-special wake, majaina siku hizi unaitwa na kila mtu, dada yako, officini mabosi, mpenzi, mpenzi hayana maana, hata mimi ni mwanaume lakini sipendi kwa sababu rafiki yake wa kike anamuita mpenzi kwenye sms na sms yangu nayo mpenzi?
 
dudu unaztambua haki zako wewe...YAAN TATIZO KUMUITA BEB TU?
vngne asi unapata sasa jina ndo nini?
as 4me spendwi izo majina sjui beb,hny,swetie..wewe fanya matendo basi mi ntajua yap m truly honey...majina meeeeeeeeeeeng mambo hakuna so wat?\
ebu kua kdg majina yatakusaidia nin wew?
 
Kama hataki sasa nini umlazimishe, wanaume wengine shida tupu...kuna wengine hawatki sababu za kidini, na wengine sababu wanaona kila mwanamke anaitwa babe, au sweet sasa hawataki kufananishwa na wengine.
 
Back
Top Bottom