Nashindwa kumwelewa huyu dada

Childish!
Hivi umeungishwa na gundi kwa huyo dada?
Au umeshauriwa na ukoo kuwa umwoe yeye na unaogopa laana ya wazee?
Mi nadhani mwanaume unakuwa na say ya mwisho..ukiona unakerwa unamtema fasta!
Shida ni kwamba huenda ushatanguliza zawadi mingi, kama fedha, costumes, simu za bei na outing kibao, sasa unapiga hesabu ya gharama!
 
as long as time will remains to be money ...n.. She wastes ur time therefore she wastes ur money definetely.
 
imenitokea kama ivi! Ila mimi sina haraka nae sa ivi, kama ni simu anapiga mwenyewe
 
Khaaa....akuombe msamaha kwa lipi haswa??!Kukwambia ana mtu ambae sasa hayuko nae tena??!Kuumwa homa kwa kukosa simu na msg zako??!Unashangaza kweli....
 
Hahahaaa hapa kwenye red pamenifurahisha mkuu
 
khaaa....akuombe msamaha kwa lipi haswa??!kukwambia ana mtu ambae sasa hayuko nae tena??!kuumwa homa kwa kukosa simu na msg zako??!unashangaza kweli....

mbona ligue sana kihivyo.
 
mbona ligue sana kihivyo.
Nachukia sana watu/mtu anapolazimisha msamaha wakati hajakosewa...na hapa sijaona ulipokosewa na ndo maana umebaki na kuniambia nampenda LIGUE!!
 
Mwanamke lazima awe na msimamo bwana. Mambo ya kutongozwa leo kesho ameshavua chupi siyo ishu!
huyu ndio wa kuoaaa,
 
Nachukia sana watu/mtu anapolazimisha msamaha wakati hajakosewa...na hapa sijaona ulipokosewa na ndo maana umebaki na kuniambia nampenda LIGUE!!

mie nilimwomba msamaha kwa kutompigia simu, na akaniambia thats ok, and she started feeling happy. Najua alinidanganya kuwa anapendwa.
 
Mwanamke lazima awe na msimamo bwana. Mambo ya kutongozwa leo kesho ameshavua chupi siyo ishu! huyu ndio wa kuoaaa,
Yes ..no..yes..no ndio msimamo???Huo ni ubabaishaji.Msimamo ni ule usio na ugeu geu...angeweza sana kuomba muda wa kufikiria hata kama ni miezi na ikitokea akamkubalia baada ya hiyo miezi wasihusiane kimwili baada ya miezi mingine au hata mwaka!
 
mie nilimwomba msamaha kwa kutompigia simu, na akaniambia thats ok, and she started feeling happy. Najua alinidanganya kuwa anapendwa.
UNAJUA ulidanganywa au UNAHISI ulidanganywa?!Maana sidhani kama una ushahidi wa hiyo NAJUA yako!!Bado sijaona sababu ya wewe kuombwa samahani!POLE unastahili lakini....itake hio!
 
Yes ..no..yes..no ndio msimamo???Huo ni ubabaishaji.Msimamo ni ule usio na ugeu geu...angeweza sana kuomba muda wa kufikiria hata kama ni miezi na ikitokea akamkubalia baada ya hiyo miezi wasihusiane kimwili baada ya miezi mingine au hata mwaka!
shauri yakoutamegwa sana ukimbiwe
 
UNAJUA ulidanganywa au UNAHISI ulidanganywa?!Maana sidhani kama una ushahidi wa hiyo NAJUA yako!!Bado sijaona sababu ya wewe kuombwa samahani!POLE unastahili lakini....itake hio!
Ngoja nikuulize swali my dear. Ivi kwanini inakuwa ngumu sana kwa wasichana hasa wanaojijua kukubali uhusiano kirahisi??. Je unaweza subiri more than a year kupata jibu kwa msichana??.
 
Ngoja nikuulize swali my dear. Ivi kwanini inakuwa ngumu sana kwa wasichana hasa wanaojijua kukubali uhusiano kirahisi??. Je unaweza subiri more than a year kupata jibu kwa msichana??.
Kwasababu hawataki kuwa wababaishaji...akubali leo alafu kesho agundue haupo vile alivyozani/ulivyomuonyesha wakati wa kumpigia misele.Ni vizuri mtu akipoteza muda kukusoma kidogo ili akikukubali au akikukataa asiwe na majuto baadae...hivi ndivyo wanavyofanya wao.Naamini hata nyie wanaume kwa wale waoaji hua hawakurupuki tu kumtokea sichana bali anajaribu kumjua kwanza angalau kidogo‘
 
Swali ni kwanini inakuwa vigumu kutoa uamuzi hadi mtoe machozi. au na nyie kuna kadomo zege fulani (sorry). Tattizo mnataka kung'ata kwote kwa kila anaye kuja.
 
Akikupigia mwambie na wewe umeshapendwa.
 
Swali ni kwanini inakuwa vigumu kutoa uamuzi hadi mtoe machozi. au na nyie kuna kadomo zege fulani (sorry). Tattizo mnataka kung'ata kwote kwa kila anaye kuja.
Kwahiyo sijajibu swali lako?!Kuchukua muda kumjua mtu kabla ya kutoa maamuzi sio jibu!?Hayo machozi ndo nayasikia leo...hilo waulize wahusika maana mimi sijui!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…