Sio lazima umwambie mpenzi wako unampenda, jaribu kumuonyesha kwa vitendo mapenzi yako, mnunulie zawadi kama nguo chupia sidiria au simu ya mkono, mnunulie Uwa la Rangi
nyekundu Red Rose, ukimuona mkumbatie sema nae kwa uzuri usiwe mkali kwake jaribu kuwa mchangamfu kwake.Punguza sana wivu juu yako ukitembea nae barabarani mshike mkono
kila wakati jaribu kumpa maneno mazuri yanayomfurahisha hizo ndio baadhi ya kumfanya mwanamke wako ajue kuwa unampenda . Sio kusema tu wampenda wakati wewe moyoni mwako humpendi.