Nashindwa kusema I LOVE U

Nashindwa kusema I LOVE U

Jamani topic ya ukweli hii hebu tusadieni sisi jamani ngumu kusema I LOVE YOU!

tusaidiane nini! kumwambia demu wake tunampenda! ok! '' I love u sana wewe demu wa bujibuji'' najua atanitafuta coz ndiyo mara yake ya kwanza kuambiwa anapendwa
 
Kweli wewe ni Bingwa wa ma I LOVE YOU, naona unamchapa kitimoto dekio baada ya kumwambia NAKUPENDA
tusaidiane nini! kumwambia demu wake tunampenda! ok! '' I love u sana wewe demu wa bujibuji'' najua atanitafuta coz ndiyo mara yake ya kwanza kuambiwa anapendwa
 
kakaa wewe yan ni BONGE LA PLAYER mana ndo wanatabia hyo wao wanataman hawa pend
 
Hiyo inatokea zaidi kwa mwanamke mwenye wivu. Ukimwambia nakupenda au I LOVE U, badala ya kusema asante yeye atakuuliza na hao wadogo zangu nao huwa unawambia nini ukikutana nao? Yaani wewe useme tena hamna mwingine zaidi yako dear. Hii si kupoteza muda na nguvu!?
 
action speaks louder than words kwangu haina maana kama ukisema i love u or not wakati matendo yako yanakingana hongera kwa kupenda
 
Sio lazima umwambie mpenzi wako unampenda, jaribu kumuonyesha kwa vitendo mapenzi yako, mnunulie zawadi kama nguo chupia sidiria au simu ya mkono, mnunulie Uwa la Rangi

nyekundu Red Rose, ukimuona mkumbatie sema nae kwa uzuri usiwe mkali kwake jaribu kuwa mchangamfu kwake.Punguza sana wivu juu yako ukitembea nae barabarani mshike mkono

kila wakati jaribu kumpa maneno mazuri yanayomfurahisha hizo ndio baadhi ya kumfanya mwanamke wako ajue kuwa unampenda . Sio kusema tu wampenda wakati wewe moyoni mwako humpendi.

Tamthilia 100%
 
Back
Top Bottom