Nashindwa kusema I LOVE U

Nashindwa kusema I LOVE U

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms
 
uncle chelulute unamatatizo gani lkn?mbn hapa umesema?hayo mambo mengine unasemaje?hebu twende kule nikufundishe mwandiko uje na lile daftari la mistari mikubwa na midogo leo tutasoma A=APPLE,B+BOY mpaka tiutafika kwenye I LOVE YOU!
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

Mkuu hebu nisaidie kwanza...ni kwamba mko mbali na mnawasiliana na simu kiasi huwezi kumwambia unampenda kwa kumtamkia kwa simu mpaka kwa text au mko karibu na hata mnapokutana huwezi kumtamkia ila kwa sms tu...???
Hope umenielewa ninachohitaji kufahamu
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

Kama mpenzi wako huyu ni yule aliyekufanya utoke mkuku kwao, huna haja ya kusema hivyo, kitendo chako cha kujitoa mhanga kuingia kwao bila kukaribishwa, bila kujali mbwa, kuwalaghai night support na kukutwa na wazazi wake inatosha kabisa (by necessary implication) kuonesha mapenzi kwake.
 
UKITAKA KUSEMA VIZURI NAKUPENDA AU I LOVE YOU NI VYEMA UONGEE HUKU MACHO YAKIWA YAKIWA YAMEFUNGWA KWANI HUTAPATA NAFASI YA KUMWANGALIA USONI.
:love:
 
ni maumbile tu, baadhi ya watu ni vigumu kuonyesha hisia zao za ndani kwa nje na wengine ni wepesi. Na wale wasioweza kuonyesha hisia zao za ndani kwa wanaowapenda sana mara nyingi si matapeli wa mapenzi. Na mara nyingi huonyesha kwa matendo. Usihuzunike sana cha msingi huyo uliye naye aelewe tu kuwa wewe umeumbwa hivyo na si kwamba una mapunguvu.
 
Du...
Hii kali!
Nadhami uliletewa huyu mtu na wazazi au na ukoo!!
Na je yeye anakwambia maneno hayo?
 
Kama mpenzi wako huyu ni yule aliyekufanya utoke mkuku kwao, huna haja ya kusema hivyo, kitendo chako cha kujitoa mhanga kuingia kwao bila kukaribishwa, bila kujali mbwa, kuwalaghai night support na kukutwa na wazazi wake inatosha kabisa (by necessary implication) kuonesha mapenzi kwake.

Hata mi nakumbuka alifumaniwa na baba wa msichan wake mwaka mpya,sasa atuambie ni huyo au mwingine???kama ni huo then hwanapendana na kila mmoja alishaonyesha mwenzie kuwa anampenda,maneno yasubiri vitendo vilishatangulia......lol
Kama ni mwingine,anza ku-practice,si unajua practice makes perfect?practice mwenyewe kama vile unaenda toa speech then mwambie,usi-reason sana...................:love:
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

This is natural, I believe!
 
Ndio huyo huyo nimpendae
hata mi nakumbuka alifumaniwa na baba wa msichan wake mwaka mpya,sasa atuambie ni huyo au mwingine???kama ni huo then hwanapendana na kila mmoja alishaonyesha mwenzie kuwa anampenda,maneno yasubiri vitendo vilishatangulia......lol
kama ni mwingine,anza ku-practice,si unajua practice makes perfect?practice mwenyewe kama vile unaenda toa speech then mwambie,usi-reason sana...................:love:
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms
Jaribu haya;

  1. Ujue kuwa huyo hujampenda, ungempenda kinywa kitafunguka yenyewe.....
  2. Mtafute kiziwi asiyehitaji sauti, bali maandishi, ishara na matendo tu.....
  3. Rekodi sauti yako yenye maneno "NAKUPENDA SANA MPENZI WANGU...................." kwenye kitu chochote, then ukamfungulie asikilize.....
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

Basi utakuwa humendi toka moyoni mwako.

Lakini dah hilo neno hata mm nashindwa kweli kulitamka kha!
 
Vitendo vinaongea kwa sauti kuliko maneno, mwonyeshe tu unampenda atakuelewa. Vp gari lako ulishalichukua kule kwa baba mkwe?
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

Kwa hiyo hata chakula cha usiku nacho unashindwa kumwomba?
 
Hata mi nakumbuka alifumaniwa na baba wa msichan wake mwaka mpya,sasa atuambie ni huyo au mwingine???kama ni huo then hwanapendana na kila mmoja alishaonyesha mwenzie kuwa anampenda,maneno yasubiri vitendo vilishatangulia......lol
Kama ni mwingine,anza ku-practice,si unajua practice makes perfect?practice mwenyewe kama vile unaenda toa speech then mwambie,usi-reason sana...................:love:

Michelle wewe acha kusoma katikati ya misitari na thread ile ukaileta hapa bwana unamtia aibu menzako huoni mtu mzima huyu???? Ipotezeee kivileeeeeeeee
 
Back
Top Bottom