Nashindwa kusema I LOVE U

Nashindwa kusema I LOVE U

muhimu kumpenda kwa thati. actions speak louder than words
 
try to do anything good "unthinkable to her" sometimes actions speaks louder than words
 
Bujibuji naipenda sana avatar yako , maana huyo mhusika kila napomuona kavaa uhusika wake nabakia kucheka mwenyewe
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms

Mkuu hili tatizo sio lako tuu. Jaribu kusearch google utaona. Kwanza kabisa labda inabidi ujue maana ya I LOVE YOU. Watu wengi huwa wanapenda kutamka I LOVE YOU lakini wanajua maana yake? Could it mean you are happy to be with her, and will always care about her? Saying I LOVE YOU is a big step but to learn how to say I love you to your significant other is different.

Just say her "I care about you, because you make me happy and because you care about me. You make each day of my life happier because you are there with me, there is not many people in my life that can make me feel so special as you make me feel" That is just like saying "I love you".

On the other hand, some women don't like hearing I LOVE YOU every two seconds. It sounds clingy, and almost annoying some wome. Because sometimes, a person says I love you, way too much, and it starts to sound more like "dont do this, dont do that" you know? A lot of men just fear rejection. Because women make a huge deal of it. Women make a huge deal of everything.

Also be careful because "I Love You" In men talk could mean the following:

1. Be quiet I want to watch football
2. I want to have sex
3. I love you
4. I just want peace
5. Can you fix me a snack
6. Thank you for putting up with my crap
7. ...... to be provided by Rose 1980 if HATES ME
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms
naomba nikubatize: Bujibuji KIBOGOYO...:love::love:..hata kasuku anakushinda kusema hayo maneno ma3!!
 
Mwambie muhusika, atakuwa anakuanza yeye kukuambia I love you, itakuwa rahisi kwako kujibu I love you too
 
Actions Speaks Louder Than Words...
Hata mimi naona hili neno halina maana hususan sikuhizi linatumika kila wakati...
 
mkuu sio lazima utamke hayo maneno... cha msingi ni kama unampenda kiukweli
 
Hata mimi hivyo hivyo, siamini mapenzi ya copy and paste toka kwenye tamthilia. Nakumbuka kwa mara ya mwanzo na mwisho nilifanya hivyo pale altareni wakati naoa four yrs ago kwa maelekezo ya mchungaji, baada ya hapa ni matendo mema tu namfanyia kwa kadri ninavyoweza, nae naridhika na wema anaonifanyia.
 
Nashindwa kabisa kumwambia mwenzi wangu I Luv U au Nakupenda.
Hakika nampenda sana, lakini kinywa changu ni kizito kukiri, hadi niandike sms
Sio lazima umwambie mpenzi wako unampenda, jaribu kumuonyesha kwa vitendo mapenzi yako, mnunulie zawadi kama nguo chupia sidiria au simu ya mkono, mnunulie Uwa la Rangi

nyekundu Red Rose, ukimuona mkumbatie sema nae kwa uzuri usiwe mkali kwake jaribu kuwa mchangamfu kwake.Punguza sana wivu juu yako ukitembea nae barabarani mshike mkono

kila wakati jaribu kumpa maneno mazuri yanayomfurahisha hizo ndio baadhi ya kumfanya mwanamke wako ajue kuwa unampenda . Sio kusema tu wampenda wakati wewe moyoni mwako humpendi.
 
Je na mpenzi wako nae akuambia I LOVE U unamjibuje? au ndio unakimbilia simu (sms) kumjibu
 


BUJIBUJI JARIBU KUPIGA HICHO KITU KWENYE HIYO AVATAR I LOVE YOU ITAKUJA YENYEWE
 
Back
Top Bottom