mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Umehamia wapi tukufuate?Jamaa ni waizi sana
Ukitaka kuwajua kua waizi we weka jero lako halafu usijiunge uone kesho kama halijapunguzwa
Mi nimeshawahama
Yani haya majitu yanayolalamikia Voda natamani niyakatege makofi kinomaSi muhamie tiGo, Zantel, Airtel, Hallotel etc.. tofauti na hapo mnapenda kuibiwa
Kila kona maumivuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha wapigwe tu 😀😀Yani haya majitu yanayolalamikia Voda natamani niyakatege makofi kinoma
Lazima akili zikae sawaKila kona maumivuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa kimekuwa 3000Ujinga wa hivi vifurushi vya voda na kutoa dakika chache sana za kwenda mitandao mingine tofauti na hapo awali/mitandao mingine.
Kwa mfano,kifurushi cha wiki cha sh 2000(ofa maalumu) wanakupa dakika 150 za voda kwenda voda na dakika 15 tu za mitandao mingine. Hivyo, usipokuwa makini, unaweza kujikuta unazimaliza hizo dakika 15 ndani ya Siku moja au mbili wakati umenunua kifurushi cha wiki cha shilingi 2000 na ukilalamika watakwambia vigezo na mashariti vimezingatiwa.
Kifurushi hiki kina nafuu kwenye kutoa MB tu ambapo wanakupa GB moja utumie ndani ya hizo siku 7.
Rudi nyumbani kumenoga sh 5000 dk 380 mitandao yote siku 30Ujinga wa hivi vifurushi vya voda na kutoa dakika chache sana za kwenda mitandao mingine tofauti na hapo awali/mitandao mingine....
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu aliwahi kuwapigia akiwalalamikia,akasema km wataendelea kimfanyia huo mtima nyongo,atauhama mtandao;Jamaa wakamjibu kuwa akitaka kuhama asihame peke yake Bali atafute wengine 99 ili wawe 100,Voda jeuri Sana.
Hahahaha huyo jamaa hivi still atakuwa kazini kweli? Voda viburi flowsKuna mtu aliwahi kuwapigia akiwalalamikia,akasema km wataendelea kimfanyia huo mtima nyongo,atauhama mtandao;Jamaa wakamjibu kuwa akitaka kuhama asihame peke yake Bali atafute wengine 99 ili wawe 100,Voda jeuri Sana.