Nashindwa kuwaelewa Vodacom

Nashindwa kuwaelewa Vodacom

Ukitaka ujue kuwa ni wezi wee hakikisha hujawasha data na wala hakuna App inayo run then jaza vocha na iweke simu yako pembeni lala mpaka asubuhi uone senti ambayo imevuja
Jamaa ni waizi sana.

Ukitaka kuwajua kua
 
Vodacom natumia kutokana na vitu vifuatavyo
M pesa
M pawa kukopa
Songesha
Hizi ndo huduma nazopenda kuhusu vifurushi sijawahi jiunga huu mwaka wa 2 natumia halotel 1000 dakika za wiki means mwezi ni 4000 tu na ukiunga mapema vifurushi vinajibeba hakikati
 
Mi walikuwa nikiweka vocha tu wamekwapua ,ukiwaiulza wanakuambia sijui tusua mapesa kachukua pesa wakati sijawahi cheza huo nikawakomalia mpaka sasa hvi nikiweka jero hata ikawe wiki hawakati na pia nikakubali kutotumia salio la kawaida pindi bando likiisha
 
Mnalalamika kwa sababu ya umasikini kwenye account nina zaidi ya 70m siwezi kuanza kulia lia na bundle
Kenge wewe matajiri hawajisifii wewe mfua nguo za watoto wa pole pole kuwa mpole
 
Mnalalamika kwa sababu ya umasikini kwenye account nina zaidi ya 70m siwezi kuanza kulia lia na bundle
Hiyo million 70 unayojivunia ni budget ya Chakula na matibabu ya Mbwa wangu kwa mwaka sasa endelea na majivuno yako
 
Mimi nimetoa laini yao .nimebaki na halotel.
Voda ni wezi walioshindikana.
Jana kuna mama alikuwa ana lalamika ameweka vocha ya 500 akiwa nyumbani kwake anakuja barabarani anapiga simu anaambiwa Hana salio.
 
Back
Top Bottom