Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Hii imekaaje wakuu.
Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza.
Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu daktari/mhudumu amekaa na wenzake wawili yaani sio watu wa hospital ni wauza chakula/ mama ntilie, kwahiyo mtu unahudumiwa huku mama ntilie wawili tena wamekaa juu ya meza wanasikiliza. Mbaya zaidi mezani ameweka misosi.
mlango unafunguliwa mara kwa mara anaingia nesi daktar mara sijui nani.
Watumishi wa uma wa Tanzania, shame on you pamoja na sekta nzima!