Kaongee na baba yako....
Mimi ni kijana wa mwisho ktkt familia ya watoto 7 wakike wa tatu wa kiume wa 4, wakubwa zangu wote wana miji zao, 2 liobaki wawili tunalingana tofauti ni miezitu.Ukweli mi ninapendwa sana na baba sasa!kuna kiwanja alicho nacho baba nataka nikaombe mkopo bank ilinianze kufanya biashara hicho kiwanja kikobalabalani na hakina nyumba kina ukubwa wa ekari moja maeneo ni kijijini.Msaada wangu jamani naomba munisaidie mawazo nianzie wapi na je kisheria hii ikoje?
Ahsante sana kaka mzee niliwahi kumwambia na alinikubalia bila pingamiz lolote.Vip kuhsu hawa wengine hawata leta mgomo?
huwez ombea mkopo kiwanja ambacho c mali yako..consert ya baba yako ni muhimu.na benk wanataka hati ila icho kiwanja maana ni mali ya family au maana baba yako kukupenda siyo kwamba ndo na mali ni zako..benk hawatak kiwanja chenye utata..