Mimi ni kijana wa mwisho ktkt familia ya watoto 7 wakike wa tatu wa kiume wa 4, wakubwa zangu wote wana miji zao, 2 liobaki wawili tunalingana tofauti ni miezitu.Ukweli mi ninapendwa sana na baba sasa!kuna kiwanja alicho nacho baba nataka nikaombe mkopo bank ilinianze kufanya biashara hicho kiwanja kikobalabalani na hakina nyumba kina ukubwa wa ekari moja maeneo ni kijijini.Msaada wangu jamani naomba munisaidie mawazo nianzie wapi na je kisheria hii ikoje?