Nashindwa nini niamue katika situation hii

Nadhani ndugu yangu utapumzika kaburini... kilasiku changamoto tu...
Kwani uliwakosea Nini walimwengu jamani😭
Siku hizi makaburi nayo yanapitiwa na mafuriko marehemu wanabebwa.

Kwahiyo ukishindwa kuinjoi duniani ndo imetoka hiyo. Yaani ni msoto duniani, msoto kaburini, msoto motoni! Baada ya hapo sijui ataenda kusotea wapi!
 
Pole sana. Watu mnaoishi hapo Canada au walio na uzoefu wa maisha ya huko, mpeni ushauri makini huyu ndugu.
 
Kuna mmoja anajiita money penny, sijawahi kumuelewa na nikiona uzi wake sifungui
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila jamaniπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kwa hiyo unajua kabisa ukifungua tu, majanga.
Jf kuna heka heka jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…