Nashindwa nini niamue katika situation hii

Ana story za ajabu huelewi kama ni za kweli au za kitunga. Muda mrefu sasa nimeacha kumfatilia
Uwiii, utafanya nami nianze kumfuatilia jamani.
Ila humu kuna hekaheka jamani😅

Japo wapo wenye ishu za kweli, ila tatizo sasa jinsi ya kuiwasilisha hio habari, utafurahi😅
 
Kwanza Inaonekana mlienda Canada kwa "status ya Ukimbizi"

unachotakiwa kukifanya ni rahisi tu, kama mke wako anasumbua ni kumpeleka mzee wako kwenye "shelter" aende akapewe nyumba na serikali aishi huko.

Huyo kupata nyumba ni sahau, kwa kipindi hiki beba tu huo msalaba hadi apate nyumba

Wacongo wakifika Canada wakaanza kupewa pesa za watoto(wenfi wana watoto 5+) ko kama $3500 kila mwezi hata kazi hawafanyi tena au wanafanya kwa kupenda wao
 
Sijausoma huo uzi. Ni zaidi ya mwaka nampita tu😅😅😅. Nimeshindwa hata kwa kujilazimisha
Hatari sana,
Mie kwa sasa nashinda jukwaa la Siasa hivo haya majukwaa mengine napita juu juu tu
 
Duuh wazazi nao wakati mwingine kipengere!, Msaidie kadri uwezavyo,akipotea hamna mmbadala wa baba, mbali na Mungu pekee!
 
Baba ni baba mkuu. Fanya uwezavyo umtunze pengine bila yeye usingefika hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…