Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #21
hata mm nilijua ivyo ndugumara ya mwisho alikuwa tour kupromote album yake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mm nilijua ivyo ndugumara ya mwisho alikuwa tour kupromote album yake..
HaahaaaMwamba mwenyewe , akili kubwa sana hii..
Hata Jiwe anamkumbuka huko aliko...
Alitutoa uwoga wa kumnanga Jiwe humu....
View attachment 3208116
Duh... Days are flying.Hii hoja naomba isichanganywe na hoja ingine yoyote na wala haihitaji mjadala mreeeefu wakuu.
Ima faima mkuu kisandu aka Don Nalimison aka ex wa Malia Obama huko aliko atambue anamisiwa huku jF na kuanzia sasa ajihesabu kama mtoro aliyekimbia kituo chake cha kazi au kapteni aliyetelekeza tanga lake kwenye kina kirefu cha maji ya bahari.
Kwa wito huu afanye awezalo arejee haraka na kama atabisha arejeshwe kinguvu hata ikibidi kwa viboko.
Kama hana simu wanaomzunguka wampe simu tumuone humu haraka pasi na kuchelewa au aweke tangazo humu tumchangie apate kiswaswadu kilichochangamka.
Hii nchi imechezewa sana.
FYI:: Kwa memba wapya, Deo kisandu ni mwanajF mwenzetu alikuwa machachari sana kwenye haya mambo ya mitandaoni lakini kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa kimya sana ndomaana imelazimika kuweka hili shinikizo hapa ili mwamba arudi kutupa mawili matatu hapa tufurahie busara zake.
🤣🤣🤣ili iweje sasa kiongozi?Watakuja kusema ndio wewe unajitafuta.