Nashinikiza deo kisandu ex wa Malia Obama atafutwe arudi humu jF haraka sana hata ikibidi kwa viboko

Duh... Days are flying.
 
Mwamba mwenyewe nilimuahidi kupromote ngoma zake ziende viral huku kijijini kumbe niliwasha Moto ,nilitafutwa asubuhi na mapema kabla ya kudamka yaani siku ilikuwa ikakaribia kuanza katika putukashani za maisha basi na mkwe wa Obama alikuwa kwenye list ya watu ninaotakiwa kuwasiliana nao maana sio kwa zile simu zake na biti juu ikiwa nitaghairi kufanya nilichoahidi 😀😀
 
Deo Nalimi Kisandu, labda Dudubaya atakuwa anajua whereabouts za huyu jamaa.....maana wote walikuwa vijana wa Father Pekupeku, Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…