Nashiriki kazi zangu: Handmade home decor nilizotengeneza mwenyewe

ntantau

Member
Joined
May 23, 2015
Posts
83
Reaction score
191
Habari wana jamii
Ninashiriki nanyi handmade home decorations ninazotengeneza mwenyewe, kazi zinazochanganya art, light na modern interior design.

Kila piece ni unique, imetengenezwa kwa umakini na passion, ikiwa na lengo la kuleta comfort, elegance na identity ndani ya nyumba au ofisi.
Ninatengeneza wall art, illuminated decor na customized pieces kulingana na hitaji la mteja.

Kama unapenda decor za kipekee na zenye maana, au ungependa ku-support local handmade work,twende pamoja kuona baadhi ya kazi zangu.

Handmade Abstract Wall Decoration( Tsh 200,000/= )
Hii ni wall decoration ya kipekee,iliyotengenezwa kwa mkono kwa umakini mkubwa na ubunifu wa hali ya juu. Muundo wake wa abstract relief una-play na texture kwa namna inayovutia macho, ukitoa bold yet elegant look.


​

🔹 Material & Finish:
Imetengenezwa kwawenye mbao,ina ukubwa wa 70 cm kwa 120 cm, ikiwa na layered texture inayoongeza depth na luxury touch. Finishing yake ni ya kisasa, inang’aa kwa kiasi bila kuchosha macho.

🔹 Inafaa kuwekwa:
✔️ Sebuleni (living room feature wall)
✔️ Ofisini au studio
✔️ Reception area
✔️ Nyumba za kisasa (modern interiors)
✔️ Kwa mtu anayependa art na decor za kipekee

Botanical Abstract Wall Art ( Tsh 200,000/=)

Wall art yenye muundo wa majani (abstract leaves) na texture ya relief.
Nia ilikuwa kuleta natural feel lakini kwa mtindo wa kisasa.

Material & Craftsmanship:
Imetengenezwa kwa mkono kwa kutumia mbao imara na techniques za kuongeza texture, kuhakikisha kila leaf ina-detail zake na finishing ya kudumu.

Inafaa kuwekwa:
Inafaa kuwekwa:
✔️ Living room feature wall
✔️ Ofisini au studio
✔️ Reception / waiting area
✔️ Homes zenye modern au contemporary style
✔️ Biashara zinazotaka premium look (salon, office, Airbnb)

​

Pure Moonlight Wall Decor(Moon Collection) ( Tsh 120,000/=)​

Duara za mwanga (moon-inspired wall lights) zenye textured surface na warm LED glow, zikitoa hali ya utulivu na luxury.

​
  • Zinaweza kuwa na custom text / brand / jina
  • Zinabadilisha kabisa mood ya chumba
  • Perfect kwa living room, bedroom, office au
Feel & Atmosphere:
Mwanga wake ni soft but impactful, unaofaa kwa jioni na mazingira yanayotaka calm, luxury na character. Ni decor inayobadilisha kabisa mood ya chumba.

Feel & Atmosphere:
Mwanga wake ni soft but impactful, unaofaa kwa jioni na mazingira yanayotaka calm, luxury na character. Ni decor inayobadilisha kabisa mood ya chumba.

🔹 Inafaa kuwekwa:
✔️ Living room accent wall
✔️ Bedroom (ambient wall light)
✔️ Hallway
✔️ Office or studio
✔️ Cafés, salons, Airbnb,

🦋 Butterfly & Floral Decor Set(Tsh 120,000/=)​


Decor za mviringo zilizo inspired na butterflies na flowers, zikiwa na blue, white na gold accents.

  • Soft, elegant na eye-catching
  • Inaweza kuuzwa kama set au individual
  • Inafaa sana kwa living rooms, bedrooms na hallways

​

​

Wall Decor with Light & Florals (Tsh 130,000/=)​

Decor zinazochanganya mwanga + glass vase + florals.
  • 3-in-1 decor (art, light & flowers)
  • Huleta comfort, warmth na personality ndani ya nyumba
  • Maandishi yanaweza kubadilishwa kulingana na mteja

Duara za mwanga (moon-inspired wall lights) zenye textured surface na warm LED glow, zikitoa hali ya utulivu na luxury.
Zinaweza kuwa na custom text / brand / jina
Zinabadilisha kabisa mood ya chumba
Perfect kwa living room, bedroom, office

🔹 Inafaa kuwekwa:
✔️ Living room
✔️ Bedroom (accent wall)
✔️ Hallway
✔️ Office reception
✔️ Airbnb & modern homes






Kama kuna mtu ana experience na home decor, interior design au handmade business, mchango wenu unahitajika zaidi.
  • Maoni yenu kuhusu designs hizi
  • Ni aina gani ya decor mnaona ina future sokoni
  • Ushauri wa kuboresha au ideas mpya
  • Pia kwa mahitaji: whasap no: 0758388294.

 
Kazi mzuri mashaallah.
 
 
Asante sana Mshana Jr
 
Zina bei tofauti tofauti..
Karibu sanaa
Weka bei hapahapa, tatzo la wafanyabiashara wabongo ndo hili bei hawek anasema njoo inbox au piga simu huo ni upumbavu, kuna wengne maboss hawana muda wa kupigia simu muuzaj weka bei akipenda atoe oda

Jitahid kuweka bei hapahapa kila decor sio mtu akupigie simu hizo ni biashara za kitapel
 
Mm ningeshuauri
1. Usiweke maandishi kwenye kazi yoyote mpaka mnunuaji akuambie. Uza kazi iliyokuwa plain kabisa ila mnunuaji mpe option ya kukuwekea maandish kama atataka

2. Ongeza smooth kwenye kazi, white imetokea lakin sio smooth sana kama ni mbao hakikisha unapiga Sanding na umeme

3. Fikiria sana kujikita kwenye maeneno yenye utalii ndan yake. Yaani sehem zenye watu weupe kaz za sanaa zinatembea sana kama Unguja, bagamoyo nk. Ukipata sehem za kuaminika ukasapply kaz zako utaish kama mfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…