Nashiriki kazi zangu: Handmade home decor nilizotengeneza mwenyewe


Ile ya kwanza mi ndo naona ipo ok. Hizi ulizokuja andika maneno maandishi. Mabaya kama kaandika mtoto wa darasa la kwanza. Zimepoteza mvuto. Ya kwanza kabisa ina kitu na sijui unauza tsh ngapi?
 
Ungemshaur aweke na bei sio mambo ya njoo wasap au piga simu

Watu hawatak kujulikana, akiweka bei ni rahisi kumtafuta boda afate mzigo bila kuwasiliana
 
Hizi ni creative business ideas 💡 zenye kuweza kumpatia mtu kipato kikubwa.

Kazi safi kabisa.

Sio hawa wanawake wengine, wauza nyapu. Kazi kusambaza UTI nchini.

Usikate tamaa na usikatishwe tamaa na mtu nakuona ukifika mbali
Asantee na nitajaribu zaidi.
Naamini tunaweza kutengeneza vitu vyetu wenyewe bila kutegemea kuagiza china.
Hii itasaidia kuanzisha viwanda vidogo vidogoo vitavyoongeza ajira kwa vijana

Asante kwa ushauri mkuu

Nimelifanyia kazi na nimeweka bei.
 
Nimechukua umezingatiwa na nimeuchukua
Hakika, nitaufanyia kazi.

Kazi zilizo plain zipo.
Hii ilikuwa sanmpo kuonyesha tunaweza kuweka kitu hapo.
 
Ile ya kwanza mi ndo naona ipo ok. Hizi ulizokuja andika maneno maandishi. Mabaya kama kaandika mtoto wa darasa la kwanza. Zimepoteza mvuto. Ya kwanza kabisa ina kitu na sijui unauza tsh ngapi?
Sawa kiongozi.
Nitaboresha zaidi.
Lkn kazi zilizo plain zipo pia.

Hiyo ya kwanza uliyoipenda ni Tsh 200,000
Ungemshaur aweke na bei sio mambo ya njoo wasap au piga simu

Watu hawatak kujulikana, akiweka bei ni rahisi kumtafuta boda afate mzigo bila kuwasiliana
Nimepokea ushauri na kurekebisha.
Asante
 
Ndo moja uuze laki 2?

Wewe acha talalila
Una hela ?
Kama huna hela mwache dada yetu
 
Mkuu hiyo point namba tatuu(3)
Kama kuna sehemu unaweza nipa connection ya ku supply hizi kazii, nitashukuru sana.
Hakika siwezi kukusahau tunufaike wote.
 
Mkuu hiyo point namba tatuu(3)
Kama kuna sehemu unaweza nipa connection ya ku supply hizi kazii, nitashukuru sana.
Hakika siwezi kukusahau tunufaike wote.
Mm konekshen sina, you have to identify potential clients for your business. Mana mm nilivyoanza tofaut na wewe. Mana mm nilianza kama mwamafunz so wateja wngu mpaka leo basic wametoka kwa walim wangu wa kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…