Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!
kumbe ukikataliwa huna sababu ya ku-conclude kwamba umekataliwa eeh? ni ngumu kidogo kupata mantiki but sasa naanza kuelewa kwa nini baadhi ya wanaume huwa wanakuwa ving'ang'anizi wanapoamua kumvalia njuga binti..
Tatizo huwa mnasema sitaki kumbe unataka si unamjibu pale pale kuwa naomba muda nijifikirie kuliko kusema sitaki kesho unaanza kumfukuzia wewe tena ooh jamani baby mbona hivyo
mtafutaji hachoki mtukwao. Kama unajua umependa and there's a chance, kwanini ukate tamaa. Sema kuna wengine usumbufu, anajua hakuna hata chembe ya mafanikio bado anang'ang'ania. That is not good at all!
Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.
hahaha hamna dogo nyie mkiambiwa najifikiria mnaona mshakubaliwa...
Wow...I like that metaphor, umeona sasa kumbe hata kama interest ipo au haipo, haimaanishi kuwa anakutaka....sasa dont u think it wise to count your blessings and log off from the chase?
Ninachomaanisha ni kwamba as much as you love the chase...there must be a limit...hata mbwa akifukuza gari, kuna wakati anarealise kwamba mmmhh...I aint gonna catch this dude....maajabu ni pale mawenye gari anapomshangaa mbwa anapoback off...lol
Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!
Leo nimejua kitu kubwa sana mie
Inategemea cartura.. Ukiwa king'ang'anizi sana mahala ambapo hakuna matumaini utaumia!
hayo maharage ya mbeya ndo mazuri mkuu.
Just to see how intense can be, who doesn't like the attention after all
Umewahi ng'ang'aniwa na mwanaume king'ang'anizi analia hadi kulia ukimkataa
Just to see how intense can be, who doesn't like the attention after all
Intensity ikiwa maximum???
Attention ikiwa at the highest level????
Threshold inajulikana kwa indicators gani?
Wapi nafasi ya feelings?? Mbona ni kama utakuwa unarespond kwenye stimulus tu??? Does it mean kuwa wewe unapenda hizo characters na sio anayezihold????
Now m starting to see kwa nini vilio vyenu haviishi as hoy hapo juu ni volatile
Sasa hapa unazua mjadala mpya
Hivi kweli nyie huwa mnatupenda au ni convincing power ya mwanaume ndo ina hold the existance or extinction????
Dah umenikumbusha mbali fidel.. Ila huwa mna act sijui..
Apa tupo pamoja mkuu...ndo mambo ya msingi nimemuuliza MadameX apo juu.....wakitendwa baadaye wanalalamika wanaume wabaya...ubaya wanauanza wenyewe...