To be honest binafsi msichana akishazingua mara moja nasepa jumla hata anitafute vipi nakuwa nasita kwa experience nilizokutana nao wasichana wanaosumbua kuwapata wakipenda ni wasumbufu sana kipindi cha kuachana, utajuta kwa nini ulitoka nae atavyokukomalia mpaka basi, but girls anayejua nini anataka yeye yes au no anakujibu fasta so that you can move on,
Life la kisasa ni gumu linatu keep busy kimawazo na hata muda mwingi unakuwa kwenye mihangaiko na stress kibao, sasa huo muda wa kutongoza mwanamke a year utatoka wapi wakati kila siku unakutana na anayevutia zaidi wa jana, I think nitapokutana na naejua huyu ndo niliyepangiwa nae kujenga familia labda nitaweza, lakini hawa wa try and error huwa sifosi mara mbili, tena nikiona hapa feelings zipo juu atanitesa najikaza kiume to delete her number hili hata nikimkumbuka niwe sina contacts, then naongeza spidi kwenye resi ili hata tukikutana mbeleni akiwa na mweingine tuheshimiane kwa mafanikio ya mihangaiko yangu na ajue kwa nini sikupoteza muda kumtongoza wakat hakuonesha interested, my mom told me that mwanangu penda unapopendwa, ukiona dalili mtu hayuko interested kimbia fasta so that you won't disturb your mind ili na yeye aje kusema one day, may be I was wrong to say NO to that guy