Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.
mwanamke kudengua suna.
Au unapenda maharage ya mbeya?
Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!
Try physics, then.
Dah..Amina hii point ni nzuri ila sasa sio wote wanakuwa na hizo dalili kwamba mwisho wa siku kinaweza kueleweka...maelezo zaidi nitakuPM.:shock: