Nashukuru jamiiforums.

Andimile

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
76
Reaction score
14
Nilikuwa na hamu sana kuchangia hoja zinazotolewa humu jamiiforums
 
Hili jukwaa ni zuri sana kwa kuwahabarisha watu ila kuna wakati mwingine yanatokea mazuzu fulani hivi ambao hu-distort baadhi ya taarifa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
karibu jamvini mkuu mpya tafadhali rejea kanuni za jf
 
Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!
 
Katiba mpya itambue JF kama mhimili wa TANO wa Taifa na iingizwe kwenye mtaala kama Mtandao wa Kiada wa kufundishia sekondari!

Hahaha! Mkuu naheshimu mawazo yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…