sema iko kichadema zaidi. ukiweka mada ambayo inayoenda kinyume na cdm unapigwa ban au inaondolewa faster kwa mfano leo hapa kulikuwa na thread iliyokuwa inaonyesha kilichonvumisha mwigulu arusha ambayo ilionyesha jinsi cdm wanavyochangisha ela wananchi, huku mboye akiruka na elikopta akitumia zaidi ya 200m