Nimekuelewa mkuu!Siku nyingine ni vema utueleze tangu awali mnapoanza kufanya miadi ili tuweze kukushauri nini cha kufanya ili yasikupate tena haya. Hivi sasa kilichosalia ni majuto ni mjukuu, kama ungetafuta ushauri mapema wanaojua wangekuambia nini cha kufanya
LiKe LiKe LiKe
yaani huu muda ndo umeniacha hoi?
Watu mnajua kupenda aisee.
Aisee, hebu ntaftie mchumba wa muda mfupi. Hii mambo ya kuwekeza muda nimestukia hailipi. Awe na mshiko, hata kama sio handsome.
mh mkubwa..hiyo ilikuwa lust bana..na alikuwa anakutega au ni mtoto!
time will tell...
ila mlichofanya sio kizuri..dah! 6 wiks????
Tanzania bila Ukimwi inawezekana?